Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

Hata humu wale mbwa koko wa ccm hawajaacha kuitaja chadema kwenye ushuzi wao. Kuna chaumma na act wanagombea lakini hawatajwi tajwi kama chadema
 
Niiishiiidaaa tena kwerikweri
 
Kwa sasa hakuna chama Cha upinzani kinachoaminika kama chadema hapa nchini hakipo
 
Hata mm nashangaa kwanini SH anataja sana chadema kuliko ubwabwa
 
Mama yao mwenyewe alisema wapinzani wao wameweka mpira kwapani🤣🤣🤣
Akijua fika waliobaki ni projects tu.
 
WAfanye nn mkuu hata kampeni zao wanaongea ungese mtupu. Mgombea ana sema siku za kwanza 100 akishinda atafanya hivi na vile. Ja yupo madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…