Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.

Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini.

Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.

Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na serikalini.

Hivi sio wewe ambaye huwa unaleta nyuzi za kushangilia upinzani unakufa au umekufa?🤔mbona hueleweKi!!
 
Dr Shein alikuwa mpole sana !! Acha Mpole mwingine aingie
 
Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.

Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na serikalini.

Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.

Maendeleo hayana vyama!
Ndio umejua Leo kwamba lengo la kubaki chama kimoja ni kuficha maovu ya serikali? Subiri 2026 ndio utaona rangi halisi za upinde wa mvua.
 
Sawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Vyama vingi vimesaidia hata ndugu zangu kusoma chuo mwaka huo huo wanapomaliza form six

Mimi nilisota home mwaka mzima
 
Sawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Huo upinzani wenu mnaoutaka hauwezi kuanza mpaka huo wa ukawa ufe?
 
Ndo umejua Leo kwamba lengo la kubaki chama kimoja ni kuficha maovu ya serikali? Subiri 2026 ndo utaona rangi halisi za upinde wa mvua.

Niliposikia rais anasema fomu za umiliki wa mali ziwe siri, nikajua fika uadilifu umeisha ndani ya nchi hii.
 
Kamanda naona unazidi kupotea, lini rais amesema fomu za maadili ziwe siri? Yaani kutoa ushauri fomu zisitumwe online kuepuka wadukuaji ndio kusema kujaza fomu za maadili ni siri?
 
Kitu ambacho sio siri kitadukuliwa vipi?
 
Back
Top Bottom