Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.

Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini.

Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.

Maendeleo hayana vyama!
Huko hamfahamu kuwa ni sehemu ya Tanzania hata mnaongea kama sisi wengine ni Wanyarwanda ama Warundi, kwani vipi, au kuna ujumbe gani mahsusi mnataka tuupate.
 
Ahaaa,kamanda mkuu mbona unafeli? Kwani taarifa ambazo sio siri haziwezi kudukuliwa na kubadilishwa?
Zikabadilishwa ili ziweje? Hebu nipe mfano labda wewe umejaza una nyumba moja na magari mawili. Mtu akidukua anabadili nini labda.
 
Back
Top Bottom