johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi sio wewe ambaye huwa unaleta nyuzi za kushangilia upinzani unakufa au umekufa?🤔mbona hueleweKi!!Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.
Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na serikalini.
Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio umejua Leo kwamba lengo la kubaki chama kimoja ni kuficha maovu ya serikali? Subiri 2026 ndio utaona rangi halisi za upinde wa mvua.Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.
Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na serikalini.
Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.
Maendeleo hayana vyama!
Wa kujifunza hapo siyo wana-Lumumba?!...Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.
Sawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuhusu vurugu na matusi, mahakama huwa zinatenda haki!. Je, chama tawala wakikosea mahakama huwa inasimamia wapi?Sawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Vyama vingi vimesaidia hata ndugu zangu kusoma chuo mwaka huo huo wanapomaliza form sixSawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sawa tunahitaji vyama vingi ila sio type ya ule wa ukawa, tuundoe huu tupate wenye faida kwa taifa. Sio vurugu, matusi na kupinga kila jambo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuna vigogo kadhaa mfano RCs2 wamekuwa mamilionea gafla awamu ya tano.
Ndo umejua Leo kwamba lengo la kubaki chama kimoja ni kuficha maovu ya serikali? Subiri 2026 ndo utaona rangi halisi za upinde wa mvua.
Kamanda naona unazidi kupotea, lini rais amesema fomu za maadili ziwe siri? Yaani kutoa ushauri fomu zisitumwe online kuepuka wadukuaji ndio kusema kujaza fomu za maadili ni siri?Niliposikia rais anasema fomu za umiliki wa mali ziwe siri, nikajua fika uadilifu umeisha ndani ya nchi hii.
Kamanda naona unazidi kupotea, lini rais amesema fomu za maadili ziwe siri? Yaani kutoa ushauri fomu zisitumwe online kuepuka wadukuaji ndio kusema kujaza fomu za maadili ni siri?