Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

Huko hamfahamu kuwa ni sehemu ya Tanzania hata mnaongea kama sisi wengine ni Wanyarwanda ama Warundi, kwani vipi, au kuna ujumbe gani mahsusi mnataka tuupate.
 
Ahaaa,kamanda mkuu mbona unafeli? Kwani taarifa ambazo sio siri haziwezi kudukuliwa na kubadilishwa?
Zikabadilishwa ili ziweje? Hebu nipe mfano labda wewe umejaza una nyumba moja na magari mawili. Mtu akidukua anabadili nini labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…