ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.
 
Mna haraka ya nini? Leo mnatamani kuingia vyuoni, kesho mnaanza harakati za kudai meals and accomodation allowances. Ni vema mkaacha jazba ya kudahiiwa. By the way, unaweza kudahiliwa na tcu ukapangiwa chuo, lakini chuo wakakutosa. Haya tuliyashuhudia 2006/2007
 
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni
 
Nimeshapata homa bhandugu, sijui nianze kulia.
 
Ha aha aha aha NingaR kila kitu poa kaka ondoa shaka
 
Last edited by a moderator:
mimi imeniambia ujumbe huo huo lakini bado siamini ila naomba niwataarifu wana JF wenzangu kuwa hii process ya kutoa post ikichelewa msishangae maana hata mwaka jana siku 8 zilipita kutoka siku ya tetesi zilizosema kuwa post ziko hewani.
 
WARNING!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE,YOU HAVE APPLIED AND YOU HAVE ADMITTED ALREADY,NOT ALLOWED TO APPLY TWICE,THANKS!!. Wewe jamaa unaakili sana wewe,kama ndo hivi nimechaguliwa.
 
Jamani tupeane pole!! ndo imesha kula kwangu
 
Hivi kuchaguliwa chuo ni dili? Maana naona wiki hizi mbili mjadala wa TCU umeatawala humu. Mimi naona kuchaguliwa chuo ni hatua nzuri, lakini ni kama Yanga kumsajili Mbuyu Twite tu, kitu ambacho hakifuti rekodi mbaya ya kufungwa goli 5-0. Baada ya kuchaguliwa msome kwa bidii msije mkadisco mkawa kama Yanga
 
SITAKI Maswali MENGI
1055569383_7254689907.jpg
 
Back
Top Bottom