Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
kazi kweli kweli!!!!!!!
shossi bana........tukikuta tusioyatarajia tufanyeje??:laugh::laugh:
take mine....stay with yours.
take mine....stay with yours.
Shossi bana........tukikuta tusioyatarajia tufanyeje??:laugh::laugh:
Uyachukue kama changamoto ujiulize wapi unakosea ujipange ikifika 14.02.2112 uangalie tena kuona msg zimepungua au zimezidi lol
WanaJF,
Napenda kutoa angalizo kidogo, ukitaka kufahamu upendo wa kweli usipokee zawadi yoyote kutoka kwa mpenzi wako we mwambie mbadilishane simu siku ya leo yaani tarehe 14.02.2011. Utajua mpo wangapi na nafasi yako ipo wapi.
Tahadhari.
Agalia usije ukazimia au kunywa sumu kwa simu zitakazopigwa na meseji zitakazoingia.
Sawa kaka......:coffee:
Mi kweli simu ya mtu sitaki na yangu hapana toa. Utakuwaje peke yako wakati dunia imejaa watu🙂))
Haya twende kazi ila nakuomba uwe na subra..............
kaka hiyo ninayo,singekuwa na huyu mtu bila subra.....:laugh::laugh:
mimi?
Duh!! Mimi sijapata sms hata 1 leo so hakuna anipendae!!!!
Ndiyo,wewe Hashycool!!!!
sina mwingine.......:laugh::laugh: