Ukitaka kujua upendo wa dhati leo hii............

Ukitaka kujua upendo wa dhati leo hii............

hivi kale ka babu hakaisomi hii sredi....
lets live a teenage dream mamito!

Ka babu gani? yaani Hashy mi naweza kuacha wewe nikaenda kwa ka babu???
Au ndo wanitengenezea mazingira ya kuniacha siku ya leo???:twitch::twitch:
 
Sio kila anaetuma ni mpenzi wa kimahusiano!Au wapenzi washkaji wao hawaruhusiwi kutuma?
 
wanajf,

napenda kutoa angalizo kidogo, ukitaka kufahamu upendo wa kweli usipokee zawadi yoyote kutoka kwa mpenzi wako we mwambie mbadilishane simu siku ya leo yaani tarehe 14.02.2011. Utajua mpo wangapi na nafasi yako ipo wapi.

Tahadhari.

Agalia usije ukazimia au kunywa sumu kwa simu zitakazopigwa na meseji zitakazoingia.

wachache wanaweza hiyo aisee...

 
Kama mtu unajiamini unampa tu simu yako akae nayo kama haujiamini shughuli ndio inaanzia hapo
 
Ndugu,

Mimi nimeoa,lakini napenda kuwashauri vijana wasiwe washamba wa mambo ya magharibi,suala upendo lilikuwepo tangia enzi za mababu zetu,kwa siku ya leo furahi na mkeo kama umeo,na kama hujaoa nina sema subiri,life is very expensive,when you loose it you can not repair,Siku hii ninaigopa sana,Maana vijana wengi wanasambaziana virusi vya Ukimwi,Please take of health.Today avoid unnecessary body contacts.
 
Bado sijakutana sababu ya uhakika ya kumnyima simu yako mpenzi wako, japo kwa siku ya leo tu
 
Back
Top Bottom