Ukitaka kujua upumbavu wa watanzania,angalia Olympic tumerudi mikono mitupu ila kuna mijitu inashinda gym kila siku!

Kuna mashindano ya kurusha tufe, hawa jamaa wa gym wanaweza kabisa. Ni kwa vile tu huu mchezo haupo hapa nchini
 
Ndo maana tunasema kazi ya Mungu haina makosa. Mungu aliona akikupa akili utasumbua ndo maana uko hapo kwa mume wa dada yako unaandika ushuzi baada ya kushiba jasho la mume wa dada.
 
Kushiriki olimpiki ni zaidi ya hivyo unavyowaza. Nigeria yenye watu zaidi ya 200m nayo haijapata medali.
 
Kushiriki olimpiki ni zaidi ya hivyo unavyowaza. Nigeria yenye watu zaidi ya 200m nayo haijapata medali.
1. Niliwahi kusikia kabila la wasandawe ni hatari sana kwenye kulenga kwa mshale. Wanasema wana uwezo wa kulenga mshale kwa juu na ukaangukia mlengwa kichwani. Lakini japo kwenye olympic kuna mashindano ya kulenga kwa mishale, sikuona hata msandawe mmoja.
 
Kwahiyo olimpiki wanachagua washiriki kwa kuangalia kabila? Sioni point yako hapa.
 
Hizo gym na marathon ni sehemu mpya za wanaume na wanawake kujiuza/kufanyia u kahaba, ila utakuta aliye opoa demu gym au kwenye marathon ananicheka mimi niliyeopolea telegram au elements
 
Na hao walioshindwa badala ya kurudi kimya kimya na mabegi yao nyumbani kwao wanafanya press na waandishi wa Habari kuelezea mashindano yalivyokuwa na kuruhusu Maswali ya waandishi wa Habari 😁
 
Hata wewe ni mbabaishaji kwa sababu umekurupuka bila kujua vigezo vya mtu kushiriki mashindano ya olimpiki. Acha siasa zisizo na lazima.
Nikikuita mjinga utaudhika? Wewe huwezi kuona nimetumia sarcasm? Unadhani mimi sijui michezo ya olympic na viwango vyake? Unategemea niamini kuwa akipelekwa msandawe ataweza kulenga kwa mshale? Watu kama wewe ndiyo hawa wajinga wajinga wanaokisifia hiki kibibi kinachoangamiza nchi kwa sababu tu wanapata ulaji. Pumbafu!
 
Umeisha wahi kuona mazoezi yao huko gym! Wewe unafikiri medali inapatikana kwa kutikisa makalio
 
Hoja nzuri kabisa ,mimi ningebeba vibaka wote hawa wanaojiita polisi na jwtz na criminals wore wanaokutwa na hatia mahakamani , prison sentences zingekuwa zinakuwa served shambani na kwenye migodi ya madini .
Within ten years Tanzania inakuwa kama Dubai ,tunaondoa na Income Tax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…