Andazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,113
- 2,234
Hizo shida zakoMimi si chadema.Chadema ni wale wale wanasiasa za kipuuzi tu.
Kuna wengi tupo hatuna vyama ila hatufurahishwi na ujinga kuachwa kutamalaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo shida zakoMimi si chadema.Chadema ni wale wale wanasiasa za kipuuzi tu.
Kuna wengi tupo hatuna vyama ila hatufurahishwi na ujinga kuachwa kutamalaki
Kuna mashindano ya kurusha tufe, hawa jamaa wa gym wanaweza kabisa. Ni kwa vile tu huu mchezo haupo hapa nchiniYani ulete ubabe afu ujatengeneza miundombinu ya kutengeneza watu angalia maandalizi ya akina Simon biles(USA),Noah lyles ,Schaccari richardson(USA)) Tishane thompson(jamaica) au akina Tebogo (Botwasana) watu wamewekeza kipaji from scratch sasa mtu keshashindwa maisha huko ndo unamtupa kwenye riadha angalia akina Victor omanyala wa kenya au David Rudisha wa kenya watu wanawekeza mfano tu ramadhani brothers wamepambana kivyao ila walivyoshinda tu mabendela kibao mama anaupiga mwingu km hatutobadilika hatutopata medali mpka 2100 huko labda
Maaandalizi kaka kenya mbona alikueo mrusha tufe mrusha mkuki sie watu wakusikiliza nani kapenya turuke naeKuna mashindano ya kurusha tufe, hawa jamaa wa gym wanaweza kabisa. Ni kwa vile tu huu mchezo haupo hapa nchini
Ndo maana tunasema kazi ya Mungu haina makosa. Mungu aliona akikupa akili utasumbua ndo maana uko hapo kwa mume wa dada yako unaandika ushuzi baada ya kushiba jasho la mume wa dada.Inasikitisha sana kuona hatuna medali hata moja ya dhahabu taifa lote hili.
Hebu fikiria jinsi vijana wanavyoshinda gym kila siku.Fikiria uwekezaji huo hivi ni kwa ajili ya ngono tu?Ijapo hata mashindano ya ngono tukienda hatuwezi kushinda!
Hawa vijana wote wanaoshinda gym wakifanya mazoezi,lengo huwa ni nini?
Nguvu kubwa inapotezwa gym badala waende kulima mashamba.
Mshukuru mimi sio Rais ila ningekuwa Rais mngejua maana ya dikteta ni nini.
Ningesomba mabaunsa wote waende kijijini kulima,wasanii wote wanaoimba matusi na kushinda gym wangeimba matusi yao kwenye mashamba ya mpunga.
Tumeruhusu ujinga ujinga ndio unalipiwa hela wakati mambo ya msingi ya kulinufaisha taifa hatufanyi
Kushiriki olimpiki ni zaidi ya hivyo unavyowaza. Nigeria yenye watu zaidi ya 200m nayo haijapata medali.Tafakari haya.
1. Niliwahi kusikia kabila la wasandawe ni hatari sana kwenye kulenga kwa mshale. Wanasema wana uwezo wa kulenga mshale kwa juu na ukaangukia mlengwa kichwani. Lakini japo kwenye olympic kuna mashindano ya kulenga kwa mishale, sikuona hata msandawe mmoja.
2. Vibega wa kabila la kisambaa wa Kariakoo nao ni hivyo hivyo. Sikuona hata mmoja kwenye kunyanyua vitu vizito
3. Wamasai wanaosifika kwa kutembea nao sikuona hata mmoja kwenye mashindano ya kutembea
Yaani kila kinachosifika hapa Bongo kule hatukuweza kuonekana.
1. Niliwahi kusikia kabila la wasandawe ni hatari sana kwenye kulenga kwa mshale. Wanasema wana uwezo wa kulenga mshale kwa juu na ukaangukia mlengwa kichwani. Lakini japo kwenye olympic kuna mashindano ya kulenga kwa mishale, sikuona hata msandawe mmoja.Kushiriki olimpiki ni zaidi ya hivyo unavyowaza. Nigeria yenye watu zaidi ya 200m nayo haijapata medali.
Kwahiyo olimpiki wanachagua washiriki kwa kuangalia kabila? Sioni point yako hapa.1. Niliwahi kusikia kabila la wasandawe ni hatari sana kwenye kulenga kwa mshale. Wanasema wana uwezo wa kulenga mshale kwa juu na ukaangukia mlengwa kichwani. Lakini japo kwenye olympic kuna mashindano ya kulenga kwa mishale, sikuona hata msandawe mmoja.
Point yangu ni kuwa nchi yetu uswahili mwingi sana.Kwahiyo olimpiki wanachagua washiriki kwa kuangalia kabila? Sioni point yako hapa.
Hata wewe ni mbabaishaji kwa sababu umekurupuka bila kujua vigezo vya mtu kushiriki mashindano ya olimpiki. Acha siasa zisizo na lazima.Point yangu ni kuwa nchi yetu uswahili mwingi sana.
Nikikuita mjinga utaudhika? Wewe huwezi kuona nimetumia sarcasm? Unadhani mimi sijui michezo ya olympic na viwango vyake? Unategemea niamini kuwa akipelekwa msandawe ataweza kulenga kwa mshale? Watu kama wewe ndiyo hawa wajinga wajinga wanaokisifia hiki kibibi kinachoangamiza nchi kwa sababu tu wanapata ulaji. Pumbafu!Hata wewe ni mbabaishaji kwa sababu umekurupuka bila kujua vigezo vya mtu kushiriki mashindano ya olimpiki. Acha siasa zisizo na lazima.
Hoja nzuri kabisa ,mimi ningebeba vibaka wote hawa wanaojiita polisi na jwtz na criminals wore wanaokutwa na hatia mahakamani , prison sentences zingekuwa zinakuwa served shambani na kwenye migodi ya madini .Inasikitisha sana kuona hatuna medali hata moja ya dhahabu taifa lote hili.
Hebu fikiria jinsi vijana wanavyoshinda gym kila siku.Fikiria uwekezaji huo hivi ni kwa ajili ya ngono tu?Ijapo hata mashindano ya ngono tukienda hatuwezi kushinda!
Hawa vijana wote wanaoshinda gym wakifanya mazoezi,lengo huwa ni nini?
Nguvu kubwa inapotezwa gym badala waende kulima mashamba.
Mshukuru mimi sio Rais ila ningekuwa Rais mngejua maana ya dikteta ni nini.
Ningesomba mabaunsa wote waende kijijini kulima,wasanii wote wanaoimba matusi na kushinda gym wangeimba matusi yao kwenye mashamba ya mpunga.
Tumeruhusu ujinga ujinga ndio unalipiwa hela wakati mambo ya msingi ya kulinufaisha taifa hatufanyi