Ukitaka kujua upumbavu wa watanzania,angalia Olympic tumerudi mikono mitupu ila kuna mijitu inashinda gym kila siku!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Inasikitisha sana kuona hatuna medali hata moja ya dhahabu taifa lote hili.

Hebu fikiria jinsi vijana wanavyoshinda gym kila siku.Fikiria uwekezaji huo hivi ni kwa ajili ya ngono tu?Ijapo hata mashindano ya ngono tukienda hatuwezi kushinda!

Hawa vijana wote wanaoshinda gym wakifanya mazoezi,lengo huwa ni nini?
Nguvu kubwa inapotezwa gym badala waende kulima mashamba.

Mshukuru mimi sio Rais ila ningekuwa Rais mngejua maana ya dikteta ni nini.

Ningesomba mabaunsa wote waende kijijini kulima,wasanii wote wanaoimba matusi na kushinda gym wangeimba matusi yao kwenye mashamba ya mpunga.
Tumeruhusu ujinga ujinga ndio unalipiwa hela wakati mambo ya msingi ya kulinufaisha taifa hatufanyi
 
Sasa siku hizi ubouncer ni moja ya sifa za ushoga. Mabwabwa mengi yanashinda gym kutengenza miili lakini ukiitishia mende tu inakimbia.

Ingeenda huko Ufaransa mengi yao ingeishia kutafuta mabwana ya kizungu kuliko hata kushindana.
 
Inasikitisha sana kuona hatuna medali hata moja ya dhahabu taifa lote hili.

Hebu fikiria jinsi vijana wanavyoshinda gym kila siku.Fikiria uwekezaji huo hivi ni kwa ajili ya ngono tu?Ijapo hata mashindano ya ngono tukienda hatuwezi kushinda!

Hawa vijana wote wanaoshinda gym wakifanya mazoezi,lengo huwa ni nini?
Nguvu kubwa inapotezwa gym badala waende kulima mashamba.

Mshukuru mimi sio Rais ila ningekuwa Rais mngejua maana ya dikteta ni nini.

Ningesomba mabaunsa wote waende kijijini kulima,wasanii wote wanaoimba matusi na kushinda gym wangeimba matusi yao kwenye mashamba ya mpunga.
Tumeruhusu ujinga ujinga ndio unalipiwa hela wakati mambo ya msingi ya kulinufaisha taifa hatufanyi
Kenya Medali 11, Tanzania- 0
 
Gym tunafanya kama afya tu mkuu.
 
Tafakari haya.
1. Niliwahi kusikia kabila la wasandawe ni hatari sana kwenye kulenga kwa mshale. Wanasema wana uwezo wa kulenga mshale kwa juu na ukaangukia mlengwa kichwani. Lakini japo kwenye olympic kuna mashindano ya kulenga kwa mishale, sikuona hata msandawe mmoja.
2. Vibega wa kabila la kisambaa wa Kariakoo nao ni hivyo hivyo. Sikuona hata mmoja kwenye kunyanyua vitu vizito
3. Wamasai wanaosifika kwa kutembea nao sikuona hata mmoja kwenye mashindano ya kutembea
Yaani kila kinachosifika hapa Bongo kule hatukuweza kuonekana.
 
Inasikitisha sana kuona hatuna medali hata moja ya dhahabu taifa lote hili.

Hebu fikiria jinsi vijana wanavyoshinda gym kila siku.Fikiria uwekezaji huo hivi ni kwa ajili ya ngono tu?Ijapo hata mashindano ya ngono tukienda hatuwezi kushinda!

Hawa vijana wote wanaoshinda gym wakifanya mazoezi,lengo huwa ni nini?
Nguvu kubwa inapotezwa gym badala waende kulima mashamba.

Mshukuru mimi sio Rais ila ningekuwa Rais mngejua maana ya dikteta ni nini.

Ningesomba mabaunsa wote waende kijijini kulima,wasanii wote wanaoimba matusi na kushinda gym wangeimba matusi yao kwenye mashamba ya mpunga.
Tumeruhusu ujinga ujinga ndio unalipiwa hela wakati mambo ya msingi ya kulinufaisha taifa hatufanyi
Wewe unashinda wapi kila siku
 
ungeuawa mapema
 
Ningesomba mabaunsa wote waende kijijini akulima,wasanii wote wanaoimba matusi na kushinda gym wangeimba matusi yao kwenye mashamba ya mpunga.
Tumeruhusu ujinga ujinga ndio unalipiwa hela wakati mambo ya msingi ya kulinufaisha taifa hatufanyi
Kwani unaweza kushinda gym bila kuwa na kipato hivi unaelewa gharama za gym au ndo umevamia mji kama huelewi uliza hata hii muda uliotumia kuharisha humu JF ningekuwa Rais wa JMT ningehakikisha unaenda kuharisha shambani tupate mbolea.
 
Yani ulete ubabe afu ujatengeneza miundombinu ya kutengeneza watu angalia maandalizi ya akina Simon biles(USA),Noah lyles ,Schaccari richardson(USA)) Tishane thompson(jamaica) au akina Tebogo (Botwasana) watu wamewekeza kipaji from scratch sasa mtu keshashindwa maisha huko ndo unamtupa kwenye riadha angalia akina Victor omanyala wa kenya au David Rudisha wa kenya watu wanawekeza mfano tu ramadhani brothers wamepambana kivyao ila walivyoshinda tu mabendela kibao mama anaupiga mwingu km hatutobadilika hatutopata medali mpka 2100 huko labda
 
Medali tumepata bhana na tunatamba nayo
1000169923.jpg
 
Kwani unaweza kushinda gym bila kuwa na kipato hivi unaelewa gharama za gym au ndo umevamia mji kama huelewi uliza hata hii muda uliotumia kuharisha humu JF ningekuwa Rais wa JMT ningehakikisha unaenda kuharisha shambani tupate mbolea.
Kipato gani kama sio biashara haram na utapeli tu?

Huwezi kuwa kijana ukaacha kuzalisha mali eti unategemea kipato cha madili ya mjini.
 
Back
Top Bottom