Ukitaka kujua watanzania wengi hawana akili tumia Simba na Yanga tu utapata majibu

Ukitaka kujua watanzania wengi hawana akili tumia Simba na Yanga tu utapata majibu

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Unakuta mtu ni shabiki wa mpira lakini huo mpira wenyewe anaoshabikia haujui.

Timu yake ya ulaya inafungwa hadi goli nne tano wengne had sita lkn anasema huo ndo mpira

Lakn ikitoa sare tu timu yake ya uku matopen utasikia kocha mbovu afukuzwe halafu huyo huyo mudq wote anamsifia arteta

Timu zao za bongo zisitoe sare wala kufungwa

Wabongo ni mataahira kabsa IQ ndogo ujinga ujinga muda wote

Hawapo serious katika jambo lolote zaid ya ngono tu

Mtanzania mmoja tena bodaboda lakn utakuta anajua kila jambo ukocha anajua, udokta anajua, sheria anajua, uchumi anajua, siasa za ndani na nje anajua, mambo ya geopolitics yetu anajua, uinjinia anajua

Yan kifupi wajuaji mtanzania mmoja ni zaid ya Isaac Newton au Albert Einstein huko vijiwen
 
Usifosi tufanane, wewe mwenye akili umepiga maendeleo gani labda kuliko sisi, nyau wewe umechanganyikiwa na maisha unakuja kufokafoka hapa.
 
Back
Top Bottom