Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Ni muda mrefu sanaaa zaidi ya mwaka na sijapata nafasi ya kupitia jukwaa la Mapenzi labda kutokana na ubize au jukwaa la mapenzi kukosa mada za kushawishi na kujifunza kitu Kipya. Mara nyingi sanaaa mimi ni mpenzi wa jukwaa la Habari, siasa, Biashara na uchumi, pamoja na Jukwaa la Afya.

Usiku wa leo nikaona sio mbaya nikapita huku nikajifunza mawili matatu. Baada ya kufungua tu macho yangu yakavutiwa na wingi wa wachangiaji kwenye uzi wa ULISHAWA KULA TUNDA KIMASIHARA? Nimesoma mpaka page ya kumi naa, nikajiona Kweli mimi ni mshamba sanaaa, and I don't regret huu ushamba wangu.

Wanaume wengi wamejisifia jinsi walivyoweza kutembea na mwanamke for the first time tu walipokutana au kupata nafasi ya kukaa pamoja. Hapa ndio kumenifanya kuandika. Unawezaje kua mwanaume ( sio Mvulana) unayejitambua Ukaja mbele ya jamii kutangaza aibu ya mwenzio sababu tu yakuonekana ww mjanja?

Mwanamke aliyeweza kunivulia chupi namuoma ni mtu wa thamani sana kwangu sababu mimi sio mwanaume pekee niliyemtongoza, sio mwanaume pekee Duniani mwenye fedha, handsome au mwenyekujua mapenzi kushinda wengine. Tatunza aibu yake daima kama ishara ya shukrani na Asante sababu aibu yake ni aibu yangu pia.

Kutembea na mwanamke uliyemjua ndani ya siku moja au mbili sio sifa ila inaonesha jinsi gani Ulivyo cheap, aina ya wanawake wako unaotakiwa kuwa nao na ww ni mtu wa vipi.

Kutunza siri ya mwanamke uliyetembea nae ni kutunza Utu wako mbele ya jamii. Mwanaume mwenzio hatakiwi kujua chochote kuhusu mwanamke wako sababu huyo mwanamke hakutaka huyo mtu kujua hata kama hawafahamiani. Kigezo cha kutokufahamiana sio sifa ya kutaja aibu za mwenzio.
 
Tatizo Na Wao Hutushushia Heshima Pale Anapokufananisha Wewe Na Wanaume Wake 20 Waliopitia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo Na Wao Hutushushia Heshima Pale Anapokufananisha Wewe Na Wanaume Wake 20 Waliopitia


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapungukiwa nini ukipuuza?
Mwanamke akikuona ww sio type yake, ww tafuta mzuri zaidi yake.
 
Wanatumia I'd fake na majina fake wanaficha baadhi ya details sasa hapo kuna siri gani ya kufichuliana

Unless otherwise unataka sifa na kujichukulia point tatu muhimu

Haya maisha ni mafupi kama umeamua kuwa so seriously na more complicated huyo ni wewe Fanya vile unapenda na uwaache kabisa wale mabaharia kule wafanye vile wanapenda


Mi ni mdau namba moja wa ule Uzi na nawahunga mkono wote mule na wako sahihi kwa kile wakifanyacho kama kwao wamekipenda Mimi ni nani wa kuwapangia ?

Ni tabia mbaya kile wanachofanya ...[emoji848] unajua tabia inategemea na jamii husika wana define vipi au perceptions zao ni zipi so we unaweza ona jambo ni baya kwa jamii yako ila kwetu huku ni sawa tu so acha Ku judge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja kwanza, sijaupitia huo uzi, kwani huwa wanawataja na majina hao waliowaburuza mara ya kwanza mpaka ufikie kuconclude kuwa wameshindwa kuwafichia aibu yao?

Kwa nini kutembea na mwanamke siku ya kwanza baada ya kukutana iwe aibu ya mwanamke pekee na sio aibu ya kila mtu?

Mi nadhani zote zinabaki storry tu za kuchangamsha genge as long as majina ya wahusika halisi hayajawekwa wazi na ukizingatia hamna aliye verified user ameandika vile. Let me help you to take it easy


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uzi unapendwa na kila rika, sasa wewe ukashinde tu jukwaa la siasa!

Sema nini kitu kilichoniudhi hata mimi ni baadhi ya members, wametaja hadi majina ya wahusika. Hiyo hata mimi sijaipenda ila kwakuwa tunatumia Fake IDs hakuna shida sana.

Acha uzi wetu pendwa utiririke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi pendwa baba. Wazee wanachukia watu kupeana mauzoefu.
Ila sijaona ke akijitanabaisha alivokula na yeye.
Hivi nani huliwa kati ya me na ke? Wanaume wanapenda kuchukua credit sana wkt na wao huliwa,

Si anatamani na yeye au siyo. Hata ke anakuona boya kukula weye!
Kwanza me ndo analiwa zaidi. Hela na mchezo umetoa!

Mapenzi/ mbunye ni sanaa, km mtu huijui/ kuipitia wewe ni hanithi baridi kwa both ke na me.

Mleta mada kalale mzee, umezeeka mzee, sijui umekula maharage ya wapi? Sikuheshim tena!!!!!!

Tuachie mambo yetu!!!!! Kula ale mwingine wee una judge! Stop judging us!!!!!

Kawatafute hao wa kupepea, hujui kile cha faster konani ni burudani pekee?
Na inaongeza muda wakuishi?
 
Back
Top Bottom