Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

Love is less related to these checklists.
Men differs
Women differs
NB
Baniani mbaya, kiatu chake dawa
 
Unapenz? Umeoa?
 
Ndo shida ya wanasiasa kilakitu kwao ni nonsense!!! Kimfaacho mtu, dawa!!! Kama uliona kwako hakina maan kwa wengine kinalipa mkuu, hatufanan kwa kila kitu, watu wanapunguza stress zao kupitia ule uzi pendwa, watu wanajifarij na kujiliwaza! Wew rudi kwenye grounds zko ulizozoea pande zile tuachie wenyew tuendlee kukimbiza[emoji3577]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…