The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Diffference between hujuma na uzembe ni kwamba hujuma inakuwa planned, uzembe si planned ni result ya uvivu uliopindukiaUzembe ndio hujuma yenyewe sasa
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hujuma imeshaanza !Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Ndio hapo sasaWanafanya booking bila kulipia au?
Kinachofanyika hapo ni dumb reservation, hawalipi!! Ilikuwa inatokea sana Air Tanzania sijui kama bado inaendelea, unakata ticket unaambiwa ni last 3 seats, muda wa safari dege halijajaaKwani si wanalipa sasa shida ikl wapi unaita hujuma. Kiukweli hapo anaekuwa amehujumiwa ni wao maana wanalipa na huduma hawachukui.
Ila hizi zinaonekana ni baseless allegations tu. Mnapenda sana kutunga vitu ili kuleta taharuki. Mnakosea sana
Umewahi kukata ticket za ndege mkuu kwa kufanya reservation?Kinachofanyika hapo ni dumb reservation, hawalipi!! Ilikuwa inatokea sana Air Tanzania sijui kama bado inaendelea, unakata ticket unaambiwa ni last 3 seats, muda wa safari dege halijajaa
Africa ni shida tupuUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Nimefanya reservations za kutosha na unachosema ndo inatakiwa iwe hivyo,, kwamba baada ya muda fulani unconfirmed ticket zinarudi sokoni, kwa air Tanzania hii ilikuwa ni kera, nadhan lilikuwa ni swala la ItUmewahi kukata ticket za ndege mkuu kwa kufanya reservation?
Ukifanya booking kama hujalipa wanakupa booking kisha unapewa na deadline ya kulipia usipolipa hadi muda huo seat inarudi sokoni
Hata mimi nimefikiri hili swala linawezekana vipi? LogicallyWanafanya booking bila kulipia au?
Una fikra finyu sana.Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?