Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwepo inatakiwa lakini isiendeshwe na miserikali maana kutwaaaaa yanawaza upigaji tuu na sii kingine, nchi ngumu sana hiyo.Mimi ni mmoja wa watu ambao nilikataa kabsa uwepo wa SGR! Ila Vichwa ngumu wapo! MAMA ANAUPIGA MWINGI!
Serikali ipi!? Hii ya mama?! serikali ambayo inataka kila sifa apewe mama!? Ni lini private utasikia anamsifia mama kwenye mipango yake?! Wangeiendesha watu binafsi wala kusingekuwa na hizi mambo za kijingakuwepo inatakiwa lakini isiendeshwe na miserikali maana kutwaaaaa yanawaza upigaji tuu na sii kingine, nchi ngumu sana hiyo.