Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 3,978 Reaction score 6,739 Sep 12, 2024 #161 Mimi ni mmoja wa watu ambao nilikataa kabsa uwepo wa SGR! Ila Vichwa ngumu wapo! MAMA ANAUPIGA MWINGI!
Mimi ni mmoja wa watu ambao nilikataa kabsa uwepo wa SGR! Ila Vichwa ngumu wapo! MAMA ANAUPIGA MWINGI!
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,000 Reaction score 5,606 Sep 12, 2024 #162 Damaso said: Mimi ni mmoja wa watu ambao nilikataa kabsa uwepo wa SGR! Ila Vichwa ngumu wapo! MAMA ANAUPIGA MWINGI! Click to expand... kuwepo inatakiwa lakini isiendeshwe na miserikali maana kutwaaaaa yanawaza upigaji tuu na sii kingine, nchi ngumu sana hiyo.
Damaso said: Mimi ni mmoja wa watu ambao nilikataa kabsa uwepo wa SGR! Ila Vichwa ngumu wapo! MAMA ANAUPIGA MWINGI! Click to expand... kuwepo inatakiwa lakini isiendeshwe na miserikali maana kutwaaaaa yanawaza upigaji tuu na sii kingine, nchi ngumu sana hiyo.
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 3,978 Reaction score 6,739 Sep 12, 2024 #163 Janja weed said: kuwepo inatakiwa lakini isiendeshwe na miserikali maana kutwaaaaa yanawaza upigaji tuu na sii kingine, nchi ngumu sana hiyo. Click to expand... Serikali ipi!? Hii ya mama?! serikali ambayo inataka kila sifa apewe mama!? Ni lini private utasikia anamsifia mama kwenye mipango yake?! Wangeiendesha watu binafsi wala kusingekuwa na hizi mambo za kijinga
Janja weed said: kuwepo inatakiwa lakini isiendeshwe na miserikali maana kutwaaaaa yanawaza upigaji tuu na sii kingine, nchi ngumu sana hiyo. Click to expand... Serikali ipi!? Hii ya mama?! serikali ambayo inataka kila sifa apewe mama!? Ni lini private utasikia anamsifia mama kwenye mipango yake?! Wangeiendesha watu binafsi wala kusingekuwa na hizi mambo za kijinga