Bora ukose mali upate akili.Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!!
Ova
Mapinduzi bila ya bunduki au mapanga? Hujitambui wewe.Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!!
Ova