Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

mmh?hali ilivobana kwa sasa bidada anaweza akajituma weee lakini ikifika kwenye kipengele cha ruzuku wazee kama sisi wazoefu huwa tunakula kona shaaaaaa,,,enzi za hapendwi mtu linapendwa pochi ilishapitaga kwa sasa hakunaga kivileee
mkuu kukopa noma! Sasa saluni wataendaje?
 
Ta Bishanga MMMMHHHHH kweli wee mkali..Sasa madada wa JF somo tayari tunawatakia mwaka mwema wa mafanikio kutoka mlipo mpaka kuhamia Bunju au Masaki.
mwenzio nasubiria PM hapa zenye full contacts,hadi sasa zishaingia kumi na nane.
 
Shemeji wewe ngoja ninyamaze "Taenda kusema kwa mama"
ndo mana nimesema mchunaji asijuane kabisa na ndugu wa kike wa buzi lako,si unaona jinsi Dena usivyojua mipango yangu ya pembeni?
 
ndo mana nimesema mchunaji asijuane kabisa na ndugu wa kike wa buzi lako,si unaona jinsi Dena usivyojua mipango yangu ya pembeni?

Mie najua mpango mzima mpango wa kando mmmmhhhh sijui hata mmoja
 
hahaaaaaaa we mwanaume balaa mh!kwa speed ya rais wetu hapo lazima watoto home walale njaa.
 

aiseee umenifungua macho Bishanga! Napitia brandy sasa hivi nim surprise leo.
 
Una hamu ya kuchunwa bishanga. Watu wenyewe hamjachunwa tu mnakuja kulia lia jf, mkichunwa itakuwaje!!
 
hahaaaaaaa we mwanaume balaa mh!kwa speed ya rais wetu hapo lazima watoto home walale njaa.
kuna wadada wamekariri hili desa ni hatari,najiandaa kuwatumia invoice ya royalty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…