Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

Kinamama,mabuzi yako kibao mjini ila dada zangu sa ingine mnayakosea.Ukitaka kuyachuna kisawasawa hebu fuata mwongozo huu:
1.Target: Mwindaji mzuri hutambua swala aliyenona kabla hajarusha mshale.Hakikisha unayem target anazo na pia awe mtoaji.
2.6x6: Ashakum si matusi..'ukitaka kuchuna buzi na kut........bana ujue...it is that simple.
3.Usafi: kuwa msafi saa zote,mwilini na nyumbani,weka investment katika hili,italipa,fanya shopping za ukweli,saluni za ukweli.
4.Omba omba: Hata siku moja buzi lako usiliombe vocha,utajishushia thamani yako kwake,target mambo makubwa.
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.
6.Zawadi: Sio unapokea tuuuuuu unapokea,siku moja moja m surprise na ka zawadi (hasa intimate),ataku value zaidi.
7.Kujipendekeza:Jipendekeze kwa wadogo zake wa kiume,watalinda mahusiano yenu,wa kike kaa nao mbali!
8.Kununa: Kuwa full mnafiki,hata akuudhi vipi jitie hamnazo,nyumbani anuniwe na kwako?
9.Mkewe: Kwa usalama wako hakikisha unamfahamu lakini keep distance,vinginevyo vitabumbuluka na utaachwa.
10.Mashost: Marufuku buzi lako kuzoeana na mashost zako,atawalamba,hasa wakionea gere matunzo yake kwako.
11.Kuridhika:Usiwe too demanding, utam put off,jua ni muda gani muafaka wa kumwomba hela na ni wakati gani anazo.
12.Miradi:Usikurupuke,siku ukimwomba akuanzishie mradi hakikisha ni mradi kweli kweli wa kukutoa.
13.Kalumanzila: Never!achana na uchawi,utapoteza bure tu hela yako na indeed akigundua atakupiga chini fasta.

HITIMISHO
Buzi lenyewe kama ni la ukweli kama Bishanga ukienda nalo vizuri kwa kuzingatia misingi hii,uongo kama angalau utaambulia kama sio ka three bedroom house Bunju basi itakuwa apartment Masaki.
Nawatakia maandalizi mema ya valentino!

Oooohhh umepotea njoo kwangu nakugonga unaambulia 30 ikizidi 50, kesho ukipiga cm nakuuliza ww ni nani? Wawapi? Kama tulikutana iliwa ni pale na mapenzi yetu yaliishia palepale, sasa ww unataka nn?
 
he he he halo halo, nicheke mie niongeze muda wa kuishi.

Utakuwa unakula vibua ukishani red snepaz
au jodari.

Pole, mjini hapa kila mtu kwa urefu wa kamba yake.

Oooohhh umepotea njoo kwangu nakugonga unaambulia 30 ikizidi 50, kesho ukipiga cm nakuuliza ww ni nani? Wawapi? Kama tulikutana iliwa ni pale na mapenzi yetu yaliishia palepale, sasa ww unataka nn?
 
husyn kweli wewe fomu foo umepata foo

hujui keybodi zimepindua Misri, libya na zingine nyingi.

Key bodi zimeninunulia gari 2 kwa Rejao sasa natafuta nyumba kwa Byshernger.

Chezeiya kii bodi weye naona!
mmh! Hadi wivu wa via keyboard?
 

...hivi kuchunwa nako ni sifa? hapana bana, acha nitulie na mamsapu wangu tu.
 
kila kitu ni sifa
inategemea tafsiri yako ya sifa na kitu hicho.
hivi kongosho huwa unalala/lalwa saa ngapi if i may ask? Khaa! Yani kila nikilog in nakukuta jukwaa la funzadume... Nalog off.
 
husyn kweli wewe fomu foo umepata foo

hujui keybodi zimepindua Misri, libya na zingine nyingi.

Key bodi zimeninunulia gari 2 kwa Rejao sasa natafuta nyumba kwa Byshernger.

Chezeiya kii bodi weye naona!

unanifananisha na mtoto wa headboy eeh! Mi nipo dv yangu safi kabisa. Sasa inabidi tugawane huyu bishanga. Lol.
 
Back
Top Bottom