usisahau na kununua glass nzuri za crystal na ka hometheatre ili mzee anapoburudika na ka brandy asahau tabu za dunia .aiseee umenifungua macho Bishanga! Napitia brandy sasa hivi nim surprise leo.
kuna wadada wamekariri hili desa ni hatari,najiandaa kuwatumia invoice ya royalty.
ukisikia nalia jua nimepewa za uso ,kuchunwa starehe bana kwa nini nilalamike mtoto wa kiume?
huwezi amini kumwona tu Husn roho yangu bariiiiiiiidi!
mradi uzingatie masharti,i promise you hutakosa kakibanda at the end of the day,nikifurahi sana hata ka scholarship ka mdogo wako kwenda malasyia nitakatumbukiza humo.ahsnt kwa taarifa afisa mawasiliano. Lol. Nataka nimchune bishanga ila usinisemee.
mradi uzingatie masharti,i promise you hutakosa kakibanda at the end of the day,nikifurahi sana hata ka scholarship ka mdogo wako kwenda malasyia nitakatumbukiza humo.
darling hapo ndo umechemka! Hivi unayaamini mahesabu ya wafanyabiashara wa inji hii? We angalia tu cash nakupa kiasi inatosha.owkeey, naomba financial statements zako zote, yaani income statement, balance sheet bila kusahau cashflow! Nataka kucalculate ratio na kufanya analysis ya kukuchuna. Lol.
darling hapo ndo umechemka! Hivi unayaamini mahesabu ya wafanyabiashara wa inji hii? We angalia tu cash nakupa kiasi inatosha.
Byshernger, mbona una tamaa sana?
Yaani husy kuja tu unataka kunikimbia?
Bora nirudi kwa big house yangu, huwa hainisumbui.
Kinamama,mabuzi yako kibao mjini ila dada zangu sa ingine mnayakosea.Ukitaka kuyachuna kisawasawa hebu fuata mwongozo huu:
1.Target: Mwindaji mzuri hutambua swala aliyenona kabla hajarusha mshale.Hakikisha unayem target anazo na pia awe mtoaji.
2.6x6: Ashakum si matusi..'ukitaka kuchuna buzi na kut........bana ujue...it is that simple.
3.Usafi: kuwa msafi saa zote,mwilini na nyumbani,weka investment katika hili,italipa,fanya shopping za ukweli,saluni za ukweli.
4.Omba omba: Hata siku moja buzi lako usiliombe vocha,utajishushia thamani yako kwake,target mambo makubwa.
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.
6.Zawadi: Sio unapokea tuuuuuu unapokea,siku moja moja m surprise na ka zawadi (hasa intimate),ataku value zaidi.
7.Kujipendekeza:Jipendekeze kwa wadogo zake wa kiume,watalinda mahusiano yenu,wa kike kaa nao mbali!
8.Kununa: Kuwa full mnafiki,hata akuudhi vipi jitie hamnazo,nyumbani anuniwe na kwako?
9.Mkewe: Kwa usalama wako hakikisha unamfahamu lakini keep distance,vinginevyo vitabumbuluka na utaachwa.
10.Mashost: Marufuku buzi lako kuzoeana na mashost zako,atawalamba,hasa wakionea gere matunzo yake kwako.
11.Kuridhika:Usiwe too demanding, utam put off,jua ni muda gani muafaka wa kumwomba hela na ni wakati gani anazo.
12.Miradi:Usikurupuke,siku ukimwomba akuanzishie mradi hakikisha ni mradi kweli kweli wa kukutoa.
13.Kalumanzila: Never!achana na uchawi,utapoteza bure tu hela yako na indeed akigundua atakupiga chini fasta.
HITIMISHOBuzi lenyewe kama ni la ukweli kama Bishanga ukienda nalo vizuri kwa kuzingatia misingi hii,uongo kama angalau utaambulia kama sio ka three bedroom house Bunju basi itakuwa apartment Masaki.
Nawatakia maandalizi mema ya valentino!
bishanga kwa kiinglish ndio hivyo eeh! Hlf hutakiwi kuwa na wivu. We kamilisha mission yako utuachie, hiyo ndio namna mpya ya income distribution. Lol.
kwa hiyo dear you don't mind sharing? Raha iliyoje! Weekend karibu cape town kuna hoteli nzuri sana hapa waterfront.
bishanga kwa kiinglish ndio hivyo eeh! Hlf hutakiwi kuwa na wivu. We kamilisha mission yako utuachie, hiyo ndio namna mpya ya income distribution. Lol.