Ukitaka kumkopesha pesa ndugu yako hakikisha mnakumbatiana kabisa

Ukitaka kumkopesha pesa ndugu yako hakikisha mnakumbatiana kabisa

Kawaida akitaka kukopa laki moja
Wewe mpe 50,000 bila kumkopesha
Hapana hiyo hiyo 50K mkopeshe maana na yenyewe hatairudisha so utakuwa umemfukuza moja kwa moja.

Ukimpa 50,000/= kama zawadi siku akirudi kutaka 1mill utampa lak5 kisa hutaki kumpa 1mill?
 
Back
Top Bottom