Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
πππkwa kweli ndugu hakopeshwi ni anapewa
atabaki anadai iliyobakiKawaida akitaka kukopa laki moja
Wewe mpe 50,000 bila kumkopesha
Damu nzitoNow days hakuna ndugu,ndugu ni yule ambae munapeana michongo ya pesa huyo ndo ndugu
Acha na misemo damu mzito kuliko maji mkuu ,hiyo ndio inapotosha jamii.Damu nzito
Hiyo ndo inasaidia watanzania tunabaki kuwa na amani yetuAcha na misemo damu mzito kuliko maji mkuu ,hiyo ndio inapotosha jamii.
HeHeHe..... asanteWanajukwaa kama mnavyojua kumkopesha pesa ndugu yako lolote linaweza kutokea hivyo hakikisha mnakumbatiana kwa mara ya mwisho.....
NB; Usimkopeshe ndugu yako pesa bali mpe kabisa
Hii ndio formulaNaunga mkono hoja. Kopesha kwa ndugu kile ulicho tayari kupoteza.
Unamwabia akafe mbeleatabaki anadai iliyobaki
ππ ukoo unakuweka vikaoUnamwabia akafe mbele
Ndugu rafiki akikukopa mpe ela uliyo tayari kuipoteza ikiwezekana omba asiirudishe iwe kama ni gharama ya kutokurudi kuomba pesa tena na siku zote kuwa in debt kwako.Hii ndio formula
ππ omba dua isirudi iwe kama gharama ya kutokurudi kuomba tenaNdugu rafiki akikukopa mpe ela uliyo tayari kuipoteza ikiwezekana omba asiirudishe iwe kama ni gharama ya kutokurudi kuomba pesa tena na siku zote kuwa in debt kwako.
Hapana hiyo hiyo 50K mkopeshe maana na yenyewe hatairudisha so utakuwa umemfukuza moja kwa moja.Kawaida akitaka kukopa laki moja
Wewe mpe 50,000 bila kumkopesha
ππupo serious kama vle ushawahi pigwa na kitu kizitoHapana hiyo hiyo 50K mkopeshe maana na yenyewe hatairudisha so utakuwa umemfukuza moja kwa moja.
Ukimpa 50,000/= kama zawadi siku akirudi kutaka 1mill utampa lak5 kisa hutaki kumpa 1mill?