yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Acha ubishi kama hujui kitu waulize waandaaji wa matamasha east africa
Wanaompa iyo ela si wajinga hawajui mziki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubishi kama hujui kitu waulize waandaaji wa matamasha east africa
Acha ubishi kama hujui kitu waulize waandaaji wa matamasha east africa
Sasa hivi diamond akifanya show ulaya au marekani analipwa sawa na kina mr.flavourWanaompa iyo ela si wajinga hawajui mziki
Sasa hivi diamond akifanya show ulaya au marekani analipwa sawa na kina mr.flavour
Huyu jamaa ana hela kuliko unavyodhani wewe.Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up.
Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
Inawezekana kweli maana sijui assets zake wala account yake inasoma kiasi gani.Huyu jamaa ana hela kuliko unavyodhani wewe.
Kwani mr. Flavour na Diamond nani msanii mkubwa? Au kwa kuwa mr. Flavour yupo Nigeria?Sasa hivi diamond akifanya show ulaya au marekani analipwa sawa na kina mr.flavour
Kama unafuatlia mzuki hupaswi kuuliza hili swaliKwani mr. Flavour na Diamond nani msanii mkubwa? Au kwa kuwa mr. Flavour yupo Nigeria?
We ndo unaonekana haufatilii mziki. Kwa rank za sasa hivi Diamond yupo juu ya Flavour na wenzake wengiKama unafuatlia mzuki hupaswi kuuliza hili swali
# kidogo ft p square
# kidogo ft p square
We jamaa yangu si uwaambie kuwa chanzo cha habari yako ni hii hapa. Na kama kuna mtu lugha inamtatiza aniite mimi nimtafathirie.
Mkuu...We unapata shilingi ngapi sio unashupalia kitu mpaka unakaza mshipa wa mnduku