ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
EKOTITEShoo za nje za wasanii wote wa kibongo zipo kwa ajili ya kujiongezea umaarufu tu " sio maslahi
Hii ni siri ambayo inatuzwa vizuri na wasanii.....shoo za ndani zilikuwa zinawalipa vizuri zaidi/Sina uhakika kwa Sasa baada ya hawa wanaojiita wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM
40k+usd= 80m+Tzs == kiingilio kiwe laki= waingie watu 800
Haya mambo anaweza mzee wa Twanga photooo