EKOTITEShoo za nje za wasanii wote wa kibongo zipo kwa ajili ya kujiongezea umaarufu tu " sio maslahi
Hii ni siri ambayo inatuzwa vizuri na wasanii.....shoo za ndani zilikuwa zinawalipa vizuri zaidi/Sina uhakika kwa Sasa baada ya hawa wanaojiita wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM
40k+usd= 80m+Tzs == kiingilio kiwe laki= waingie watu 800
Haya mambo anaweza mzee wa Twanga photooo
Hata bi kidude alikuwa anapiga live,lakini thamani yake haikuwa inafikia hata ya Nay wa Mitego.mashabiki tunahitaji live show habar za kuja na cd show zake nishazichoka aisee sijui msanii gani tz anaweza kupiga live show kama bella anajua sana
Itakuwa ni show za nje, kibongo bongo hawezi toza hiyo hela maana muandaaji inabidi kwa makadirio apate km mil 150 ili aweze kumlipa msanii mil 80.
Hebu tuambie wewe analipwa bei gani ??Milioni 87, itahitaji ukumbi unaochukua watu 8,700 watakaolipa kiingilio cha 10,000 ili kumlipa diamond. kwahiyo ukiandaa show kwenye uwanja wenye kuchukua watu 100,000 inakulipa
Analipwa shi'ngap ??Hata shoo za nje halipwi hivyo, watu hata wajae vipi hio pesa sponsor harudishi.. Kumbuka huko nje TRA ya nje lazima ichukue chao sio bongo huko wako strict.. Pesa kama hio sio rahisi kupata.
Wewe DIAMOND usimfananishe na hao wasanii wako wengine angalia shoo ya mtu mmoja hii. SIO DAR LIVE WALA MLIMANI CITY.Shoo za nje za wasanii wote wa kibongo zipo kwa ajili ya kujiongezea umaarufu tu " sio maslahi
Hii ni siri ambayo inatuzwa vizuri na wasanii.....shoo za ndani zilikuwa zinawalipa vizuri zaidi/Sina uhakika kwa Sasa baada ya hawa wanaojiita wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM
40k+usd= 80m+Tzs == kiingilio kiwe laki= waingie watu 800
Haya mambo anaweza mzee wa Twanga photooo
KIDOGO KIDOGO ETI CHURURU SI NDONDONDOKwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo!
Alikuwa afanye show shinyanga ndiyo ameitwa Los Angeles kwenda kufanya korabo na NeyoKwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
L.A ana show pia sep. 2 toka kitambo angekubaliaje kufanya show kwny ako ka mkoa cha fiestaAlikuwa afanye show shinyanga ndiyo ameitwa Los Angeles kwenda kufanya korabo na Neyo
Safi sana. Wewe ndio Mtanzania halisi.Hata shoo za nje halipwi hivyo, watu hata wajae vipi hio pesa sponsor harudishi.. Kumbuka huko nje TRA ya nje lazima ichukue chao sio bongo huko wako strict.. Pesa kama hio sio rahisi kupata.
Hizi taarifa wenzetu mwazitoa wapi..?Alikuwa afanye show shinyanga ndiyo ameitwa Los Angeles kwenda kufanya korabo na Neyo
It can be anyone
Au baoHata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu
Bora nikacheze draft
Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up.
Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up.
Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
"Nimtafathirie" we mwenzetu lugha haikutatizi!?We jamaa yangu si uwaambie kuwa chanzo cha habari yako ni hii hapa. Na kama kuna mtu lugha inamtatiza aniite mimi nimtafathirie.
Diamond Was Paid More Than President Uhuru Kenyatta For A 2 Hour Show! Find Out Just How Much He Earned Here