Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Wanapesa za kuchezea bora wangekula kitimoto na ndizi kuliko kumpa lofa mmoja
Ndo analipwa sasa! We unadhani povu unalotoa humu litapunguza hiyo hela? Au wataacha kumpa wakupe wewe? [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Mtaungua saaana mwaka huu endelea kucheza draft wenzio wanaendelea kuingiza million 87
 
Huu mziki ambao haiwezi kudumu miaka miwili kweli hela hiyo kubwa sana
Kwahyo ulitaka alipwe buku mbili useme jamaa fala ana jina kubwa ila hajui thamani yake? Wabongo kila ufanyacho kizuri lazima roho imuume[emoji91] [emoji91] au sasa ulitaka alipwaje
 
Mkuu...
Mbona hili jambo kama limekukera sana..!
Nini shida..!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo ni chuki binafsi watu kama hawa huwezi kukuta ana maendeleo unakuta analalamika serikali haimsaidii wakati kutwa anacheza draft[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka huu atajaza pipa kwa mapovu[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Afu cha kushangaza sasa bado watu wanaponda eti mziki anaoimba ni mbovu sasa kama ni mbovu mbona anapokea hela yote hiyo na anayeimba mziki mzuri anapokea sh ngapi kama anaeimba mziki mbovu anapokea nyingi kuliko muimbaji wa nyimbo nzuri basi hakuna budi na wengine tukaimbe mziki mbovu ili tupate hizo hela
 
Hahah dola 50 ni laki 1 huku kwet, kwaio analipwa laki 1 show ya nje...chinekemee....
 
Mapovu hadi wanakaribia kufa mkuu, wanafikiri ni rubi ambae alitaka alipwe laki 1 na hao clouds kufanya show kwanza i doubt hata hizo show za fiesta atafanya hata moja kama wasanii wanataniwa kwa kutaka kulipwa laki 1alafu they are speaking of diamond
 
Eeeh jomba nishushe hapo
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mm apige shooo kwa jiran siendi[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Sio lazima wote twende wengine mtalinda mtaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] kule ataenda dada zako, dem wako na bi mkubwa wko mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…