Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Wapi maigizo matupu...

Ndoa ni tamu chungu...

Hata wachungaji zinawashinda...
Hamna maigizo,japo changamoto hazikosi ila sii sawa na kuona haina maana ,kwani ni ahueni,kwa mke,mume,watoto,mtoto,wakwe n.k.Kwa maana ya malezi,kujaliana,kuthaminiana,kuheshimiana na hata kuepuka gharama zisizo za lazima,ikiwa ni pamoja na kupata utulivu wa mawazo na kujikita kwenye majukumu kwa kuwajibika zaidi.
 
Iyo kumuona Mkeo kama Dada yako....Ombea isikukute
 
Hata mtoa mada sidhani kama alimaanisha ndoa zote
Now this is it…. Kutujumuisha wote kwenye kapu moja ndicho tusichotaka. Wengine tuko kawaida tu tunapambana na changamoto zetu wala hazitutishi.

Na hata zije zipi bado tuko tayari kupambana nazo, us against tatizo na sio us against each other.

✌🏻
 
Hizo changamoto sio kawaida ni kujifariji..

Punguza makasiriko...
 
Nakazia
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi naona hajawatisha wasio oa bali kawatanabahisha mapema ili wasije shangaa watakapoingia kwenye ndoa na kukutana na makabiliano ya ana kwa ana na shetani halafu wakaanza kujua walikuwa hawajui. Wajiandae -huo mtanange ni wa viwango vya kimataifa.

Uko sahihi. Lkn si shetani tuko naye kitaa, kazini au home kila siku? Cha msingi ni kujipanga na namna ya kupambana naye. Tusiogope sana. Na ukumbuke naye ni muoga sana. Halafu haweI kujua tunalowaza ila ana uwezo mkubwa wa kutunza statistics na kuanalyse trends both vertical and horizontal. Hivyo kumpiga chenga ni rahisi sana.
 
Ushajiuliza kwanini wanaume waliowatoa bikira wanawake wengi huingia mitini?

Na kuwaacha wanawake wakiwa na maumivu, alafu baadae wao wanataka kuoa bikira Tena.
Wewe ushawahi kufurahia kunywa soda let say Chupa ya take aware ya Pepsi au Coca mtu kaipigapiga denda weee kaijaza mimate yake alafu kaibakiza nusu anakuita anakupa na wewe umalizie kuinywa yaan unywe mimate yake aliyoijaza kwenye Chupa? Si utaona raha kuagiza soda yako ambayo ina bikra kabisa kitu sealed zero kilometre haijatumika hata kidogo unaitatua kitu psiiiiiiiiii
 
na kuna mhuni ataoa hii shida!
 
Ndo mana ya kila mtu na yake.. kuna wewe against tatizo,kuna wengine against each other na kuna wengine zote wanapambana nazo... Tupo hapa kupata experience tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…