Nlibahatika kuoa ndoa ya kikatoriki wakati huo tayari nimepata Neema (wokovu) hivo nikarudi katika kumpinga shetani.
Mtoa Mada yupo sahihi 100% mda mwingi nlitumia kanisani kupambana Mungu AFUNGUE Tumbo la mwenzangu sambamba na kupitia vipimo vyote wakati huo naendelea kupambana na Mifugo kuku,ng'ombe,nguruwe ila biashara kila nikigusa hakuna.
Mwenzangu muajiriwa. Kipato akanizid mbali na familia yake haikunikubal tangu mwanzo. Sasa kupitia Maombi nlikuwa najua kila kitu na hata vile ambavyo mke hajajua Bado kupitia kufunuliwa na kweli vinatokea. Ndugu wakakomaa ndoa ivunjike mke akawafukuza katka kuomba nikaona ndugu wameenda kujipanga nikamwambia jiandae. Mimi kazi yangu kupinga( Mpingeni shetan nae atawakimbia)
Ikawa Ni vita ktk ulimwengu wa roho silogeki. Kosa kubwa mke hakuwa akitii na kunisikiliza,pia kujaribu nje kuwa labda atapata akidhan Siri, ule ulinzi wa Mungu ukakosekana kwake iliibuka vita si ya nchi hii shetani Sasa akaingia kwake Kama anavosema mwandishi. Nliona rangi zote akaungana na ndugu zake Mimi nikawa peke yangu na Yesu wangu.
Sikuacha kuomba maana nilimpenda vikao vilishindikana. Nlitukanwa,nlidharirishwa nilisikia uchungu nililia lakini nikiingia Maombi Mungu anasema yuko na Mimi. Na kanisa la watu wa 4 liko na Mimi nikamwambia Mungu nijaze nguvu[emoji3059]
Nikapelekwa ngazi zote nikamshinda ikabak ya mahakama mda wote huo NIKIOMBA USIKU ANANITOKEA KTK HALI YA KUJUA KUWA KAINGILIWA NA PEPO NILIUMIA NAMWITA USIKU HUO HUO NAMWAMBIA WAPI BANA[emoji1787].
Mwisho nikapelekwa mahakaman na kabla sijaenda nikaona kawanunua mahakimu nikamwamsha chumban kwake nikamwambia aache NITAMUUNGA MKONO KTK KUACHANA YE ANIPE TARAKA TU ASITUMIE NGUVU KUBWA nilimuhurumia maana NALIPATA KUONA SHANGAZI YAKE KAMROGA(Shang'a nae Hana ndoa),NA MATENDO YAKE YA KUTONIHESHIMU NA KUTEST NJE KAFUNGUA MILANGO.
Nlimwambia Mungu nipe nguvu nisiwe Kama wale wanaochinjana[emoji1787] Maana nlisingiziwa uongo ambao sijawah kuuona. Usio na ushahidi nkasema hakimu kubali tu hata pilato alinawa mikono
Hatimae ndoa ikavunjwa nikamshukuru Mungu nikampisha nikarud shamban kwangu na maisha yangu.
Mungu kanipa mke kanisani kwangu, NIMETOA na posa. Kwa kuwa Bado Nasali namuona katika ulimwengu wa roho yule ALOJIONA MJANJA yatakayo mpata inasikitisha Sana ana majini Mengi Sana hakuna kanisa la kuyatoa maana hata mimi nliambiwa ktk ulimwengu wa Roho mtoe hapa kamfungie ndan asije akatulipukia hapa. SO SAD ila Ni mtu na afya Yake kimwil imagine.
Mimi NAMWAMBIA Mungu ikawe sawasawa na mapenzi yako
NDUGU YANGU USIWE CHANZO CHA KUVUNJA NDOA YAKO ITAKUGHARIMU MAISHA YAKO YOTE IKIWA MWENZAKO AMETENDA HAKI ,USIACHE KUOMBA KWA AJIRI YA NDOA YAKO, MPENDWA USITOKE NJE YA NDOA KABISA AISEE
MWISHO NIMEBARIKIWA MTOTO HUKO MWANZO NIMETOMBA KWA MIAKA 14 HAMNA KITU