Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Sasa hapo kosa la mwanamke ni nini?umeshasema jamaa alikuwa kitombi
 
Kweli kabisa,mkiishi pamoja ndio kila mmoja udhaifu wake unajulikana na mwezie .Mnalala usiku mpaka asubuhi,mnakula pamoja ,kama alikuwa anajipulizia pafyumu kukudanganya ,utasikia harufu original jasho lake jinsi linavyo smell,kama anakoroma anapo lala ndio utaelewa.Kama kucha zake ni fake,nywele zake ni feki,usoni mwake anatumia facelift, kama kitandiani anakojoa ndio utaelewa. Katika maisha kuna kufake fake sana mkiishi pamoja ndio unamwelewa mwezako uorigino wake ulivyo jambo lamsingi linalo takiwa ni kuvumiliana tu.
 
Nashukuru mkuu kama umekubaliana na mimi kuhusu hilo, mipango mikubwa ya harusi ndo inasababisha watu wawe feki wakisubiria kufunga pingu za maisha..
 
Nlibahatika kuoa ndoa ya kikatoriki wakati huo tayari nimepata Neema (wokovu) hivo nikarudi katika kumpinga shetani.

Mtoa Mada yupo sahihi 100% mda mwingi nlitumia kanisani kupambana Mungu AFUNGUE Tumbo la mwenzangu sambamba na kupitia vipimo vyote wakati huo naendelea kupambana na Mifugo kuku,ng'ombe,nguruwe ila biashara kila nikigusa hakuna.

Mwenzangu muajiriwa. Kipato akanizid mbali na familia yake haikunikubal tangu mwanzo. Sasa kupitia Maombi nlikuwa najua kila kitu na hata vile ambavyo mke hajajua Bado kupitia kufunuliwa na kweli vinatokea. Ndugu wakakomaa ndoa ivunjike mke akawafukuza katka kuomba nikaona ndugu wameenda kujipanga nikamwambia jiandae. Mimi kazi yangu kupinga( Mpingeni shetan nae atawakimbia)

Ikawa Ni vita ktk ulimwengu wa roho silogeki. Kosa kubwa mke hakuwa akitii na kunisikiliza,pia kujaribu nje kuwa labda atapata akidhan Siri, ule ulinzi wa Mungu ukakosekana kwake iliibuka vita si ya nchi hii shetani Sasa akaingia kwake Kama anavosema mwandishi. Nliona rangi zote akaungana na ndugu zake Mimi nikawa peke yangu na Yesu wangu.

Sikuacha kuomba maana nilimpenda vikao vilishindikana. Nlitukanwa,nlidharirishwa nilisikia uchungu nililia lakini nikiingia Maombi Mungu anasema yuko na Mimi. Na kanisa la watu wa 4 liko na Mimi nikamwambia Mungu nijaze nguvu[emoji3059]

Nikapelekwa ngazi zote nikamshinda ikabak ya mahakama mda wote huo NIKIOMBA USIKU ANANITOKEA KTK HALI YA KUJUA KUWA KAINGILIWA NA PEPO NILIUMIA NAMWITA USIKU HUO HUO NAMWAMBIA WAPI BANA[emoji1787].

Mwisho nikapelekwa mahakaman na kabla sijaenda nikaona kawanunua mahakimu nikamwamsha chumban kwake nikamwambia aache NITAMUUNGA MKONO KTK KUACHANA YE ANIPE TARAKA TU ASITUMIE NGUVU KUBWA nilimuhurumia maana NALIPATA KUONA SHANGAZI YAKE KAMROGA(Shang'a nae Hana ndoa),NA MATENDO YAKE YA KUTONIHESHIMU NA KUTEST NJE KAFUNGUA MILANGO.

Nlimwambia Mungu nipe nguvu nisiwe Kama wale wanaochinjana[emoji1787] Maana nlisingiziwa uongo ambao sijawah kuuona. Usio na ushahidi nkasema hakimu kubali tu hata pilato alinawa mikono

Hatimae ndoa ikavunjwa nikamshukuru Mungu nikampisha nikarud shamban kwangu na maisha yangu.

Mungu kanipa mke kanisani kwangu, NIMETOA na posa. Kwa kuwa Bado Nasali namuona katika ulimwengu wa roho yule ALOJIONA MJANJA yatakayo mpata inasikitisha Sana ana majini Mengi Sana hakuna kanisa la kuyatoa maana hata mimi nliambiwa ktk ulimwengu wa Roho mtoe hapa kamfungie ndan asije akatulipukia hapa. SO SAD ila Ni mtu na afya Yake kimwil imagine.

Mimi NAMWAMBIA Mungu ikawe sawasawa na mapenzi yako

NDUGU YANGU USIWE CHANZO CHA KUVUNJA NDOA YAKO ITAKUGHARIMU MAISHA YAKO YOTE IKIWA MWENZAKO AMETENDA HAKI ,USIACHE KUOMBA KWA AJIRI YA NDOA YAKO, MPENDWA USITOKE NJE YA NDOA KABISA AISEE

MWISHO NIMEBARIKIWA MTOTO HUKO MWANZO NIMETOMBA KWA MIAKA 14 HAMNA KITU
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwanamke ulikuwa unamuona kama malkia,ghafla unaona unaishi na shetani,mpk unajiuliza hivi wakati namchagua huyu nilikuwa nimelogwa...
Kuna mwana yalimkuta uchumi ili yumba as soon as alipomuweka ndani... We Hakuna rangi aliacha kuona. Now yuko single kanyoosha mikono kwenye kitu inaitwa NDOA
 
Ndoa zenye amani % kubwa mme/mke mmoja wao anachepuka hapo Wala Hakuna shida maana mleta matatizo mmetii matakwa yake.
 
Katika yote jaribu baya la ndoani ni uzinzi wa mke. Mke akiwa mzinzi ndoa ruksa kuvunjika. Wanawake nao hawapendi hali mbaya ya uchumi wa waume zao, wanaweza toka kwenye ndoa kwenda kwingine. Ukiingia kwenye ndoa uwe na misuli ya kukabiliana na changamoto hizo
 
Hakuna kitu kinaumiza kama uombe Mungu alafu akupe uwezo wa kuona Yale ambayo mwenza wako anayo na ndugu zake ...

Ukimwambia anakuona chizi...

Hii kitu imenikuta live [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…