Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Haya mambo yakikukuta kama hukusimama imara na Mungu chochote kinaweza kutokea,usije kushangaa kwanini watu wamechinjana,shetani akishaingia kwenye ndoa kuwa kwako mbali na Mungu ndio maangamizi yako...
 
HAPO KWENYE NDOA TAKATIFU:
ZIKO VIPI?
ZINA SIFA GANI?
JE ZIPO ZAMA HIZI?

AU NDOA TAKATIFU NI ILE KWENDA KUFUNGA NDOA MBELE YA KANISA!!?🤣
 
Huwezi elewa Kiroho ni tukio kubwa kufunga ndoa madhabahuni...
UMEKAA PAZURI:

Ebu niambie utakatifu u wapi kwa mwanamke"mwenye kuwajua wanaume wengi"?
Mwanamke ambaye kabla ya ndoa, kaingilia ndoa za wengine, kasababisha mafarakano, uchungu, hasira, vilio na machozi. Leo kwa sbb kasimama madhabahuni basi ndoa yake ni takatifu! HAPANA HAKUNA
 
Wanafanya Toba kabla ya kufunga ndoa, hawafungi tu bila kutakaswa kwa damu ya YESU
 
Utakatifu Ni maisha ya toba. Hivo ukiwa na maisha hayo na kuacha maovu Basi u mtakatifu.

Zaburi 16:3 Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.

Pamoja na Maovu yetu na mabaya kabla ya ndoa huwa tunaingia ktk kuomba rehema na Mungu Wala huwa hakawii ili mradi usioe mke wa Mtu yeye Baba wa Mbinguni husamehe na kusahau

Waebrania 8:12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.

Hapo mkishaingia kwenye ndoa Sasa Ni jukumu la kila mmoja kuwa na Maombi maana kitendo Cha kusema naoa Basi umeingia VITANI silaha kuu Ni MAOMBI hasa ya kuvunja mafatilizi na malipizi. Kama wazaz au Babu/Bibi aliharibu kwenye ndoa yake usipopinga hiyo roho jiandae.

Ndoa nyingi hufa kwa sbb ya Yale walotutangulia waliyafanya maovu na sbb ya wengi kuoa mke au Mume ambae so wake Ni wa mwingine ktk ulimwengu wa Roho. Ana heri ambae kabla hajaoa akataka shaur kwa bwana na hasa kabla hajamvua nguo. JE NAN ANAHAJA NA BWANA?[emoji19][emoji19][emoji19][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya mambo yakikukuta kama hukusimama imara na Mungu chochote kinaweza kutokea,usije kushangaa kwanini watu wamechinjana,shetani akishaingia kwenye ndoa kuwa kwako mbali na Mungu ndio maangamizi yako...

Shetani (LUcifer) huyu huyu kiumbe kilichoweza shawishi robo tatu ya malaika mbinguni [emoji23][emoji23] Mnamsingizia tu bwana Lucifer ye anamipango yake mingine kabsa yuko busy
Yani uyo msela Lucifer akiingia kwny ndoa yako hakuna kitu unaeza fanya uyo jamaa tulisakiziwa wakati sio uwezo wetu
Ni vijini kisirani tu ndo hua vinaingia kweny ndoa
 
Hicho hicho kiumbe chenye ushawishi Sasa ukutane nacho kwenye ndoa kikushawishi live[emoji1787]
 
Achaaa tuuuu...unakutaa mna wiki hamsemeshanii lkn ukiwaa nje huku my husband this..My husband that😄😄😄..Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaa
Mkitembelewa na mgeni mnajichekesha chekesha,mnashinda naye vizuri,akiondoka mkimfikisha getini,akitoka tu mnanuniana tena,hapo ni mpaka mmoja akubali kujishusha....
 
Mkitembelewa na mgeni mnajichekesha chekesha,mnashinda naye vizuri,akiondoka mkifikisha getini,akitoka tu mnanuniana tena,hapo ni mpaka mmoja akubali kujishusha....
Tena hiyoo miee ndio ninayooo sanaaa...wageni tunaongea nao vizurii cheko mpk mwishooo😄😄😄wakitoka tuu mnunoo unaendeleaaa😄😄😄
 
Tena hiyoo miee ndio ninayooo sanaaa...wageni tunaongea nao vizurii cheko mpk mwishooo😄😄😄wakitoka tuu mnunoo unaendeleaaa😄😄😄
Kwahio hapo kosa linakuwa ni nini kwa mfano mpaka una fanya hivyo
 
Kwahio hapo kosa linakuwa ni nini kwa mfano mpaka una fanya hivyo
Makosaa kwenye ndoa yanakosekanaa basii huwaa yapoo tuuu😄😄..Mfanoo la kuchelewaa kurudi nyumbani na cm kutokupokeaa yaaani hapo tunajaa vifuaa hatariii na tunaongeaga maneno yotee mpk ya akibaa😄😄....Tunawazagaa mpk mtakavyopata ajali za usikuuu na vilee tutakapo pokeaa rambirambi😄😄😄...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…