Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Kwa kifupi changamoto zinazo jitokeza baada ndoa ndio mtoa mada amezipa jina shetani.... Ile milima na mabonde wanandoa wanayo pitia ndo hivyo...

Kiualisia alicho sema kipo na mimi ni shaidi mbichi kabisa.
Upo sahihi ila sikubaliani kumsingizia shetani, nikuulize swali!?, katika kukua kwetu kama binadamu kila mtu huwa ana imagination ya mtu fulani anayetamani kuwa naye, ambaye hata kama hana kitu ila mkikutana unakuwa na amani moyoni. Sasa ikitokea umeingia kwenye ndoa na mtu mwingine kwasababu ya umri, wazazi, mimba au nyingine yeyote na bahati mbaya mume au mke akabadilika, ukaja kukutana na mtu mwenye sifa zilezile ulizotamani tangu uko mdogo tena ikawa love at first sight,.. unafikiri huwa nini kinatokea!?.., si lazima atasingiziwa shetani!?,mifano ipo mingi sana, nimetoa mmoja tu..
 
Shetani nishamuona live kwenye ndoa...

Saivi najua akiinuka pa kumpigia...

Ila alininyoosha maana alimpiga my mume uchumi tukarudi sifuri..

Hakuna kipindi niliumia kama hiki...

Asante Yesu nimevuka
Mimi ninavo muona wakwangu nikiishiwa pesa hamna hata aja ya kurudi nyumbani na potea mazima, kwasbb naona shetani wake anapendelea sana uchumi mzuri, siku ukipungua kdgo naona shetani anakuja kwa kasi......... loh. Kulea mtu ulio muona ukubwani ni zaidi ya mtihani.
 
kwakweli ya ukiifunga tu ndo utajua ulikuwa humjui mwanaume/mke japokuwa mlikuwa kwenye uhusiano kwa zaiidi ya aka 4+
 
Wee jamaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Changamoto za kwenye ndoa ni nyingi sana...za kiuchepukaji zipo lkn kuna nyingine mpaka unatamani uzaliwe upya.... Mtu ulikuwa kiuchumi fresh tu gafla kila kitu kinapuputika huna pa kushika ... Sijui kama unalewa lkn... Usikae kwenye angle moja
 
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…