Ukitaka kumwambia mtu pole kwa kingereza, utasemaje?

Ukitaka kumwambia mtu pole kwa kingereza, utasemaje?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Halo JF habari mchanganyiko.

Juzi nilikuwa na watasha ama wazungu sehemu. Moja alikanyanya jiwe dogo na kuteleza nusura aanguke.
Nilishindwa kabisa cha kuongea kwa kumpa pole baada ya neno pole kunitoa ushamba.

Ukitaka kumwambia mtu pole kwa kingereza utasemaje?
 
Inategemea unataka kusema pole kuhusu nini!?? Kwa mfano, Kama ni kuumwa au kufiwa etc utaanza na sorry about your/the sickness au sorry about the loss, respectively.
 
Back
Top Bottom