Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Weeee ujinga huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize hao ndugu zetu walifika je huko far pacific? Kuna mijitu itakuja kusema Vasco da gama ndiye alikuwa wa kwanza kuijua Dunia.Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake.
Na kama mwanaume anataka kumpa talaka mkewe, pia ni sharti akate vidole vyake viwili vya mkono wa kushoto kama takwa la talaka.
Na kama mume akifa, mkewe ni sharti akate vidole vyake vyote vya mikono kama ishara ya upendo na uaminifu na kiapo kwake kuwa hataolewa na mwanaume mwingine tena baada ya mumewe kufa.
View attachment 2329433
Sasa we unaichukulia poa?[emoji849][emoji849]Wana OVerate Mno Papuchi
Hizi vitu ndo zinanifanya niwe proud kuzaliwa Tz
Ila kuna moja inayosikitisha sana...Hizi vitu ndo zinanifanya niwe proud kuzaliwa Tz
Ipi hiyo tenaIla kuna moja inayosikitisha sana...
Kondoa zile nanii zile, pale kwenye nanii ya mwanamke...Ipi hiyo tena
Ameoa mara ngapiDiamond angebaki na vingapi?
Endelea kusema nanii ivoivoKondoa zile nanii zile, pale kwenye nanii ya mwanamke...
Kwani zinaitwaje?Endelea kusema nanii ivoivo
Sijui nami piaKwani zinaitwaje?
Kukeketwa...Sijui nami pia
Wamasai na ukuryani huko nasikia bado wanapractise hiyo issueKukeketwa...