Ukitaka kuoa tafuta bikra

Ukitaka kuoa tafuta bikra

Wanawake ni kumtreat yeye anavyokutreat ,akiwa mnafiki na ww unakuwa mnafiki ,akichepuka ww chepuka,akiwa ana nuna bill sababu na ww nuna,akiacha kureply sms na ww acha,ndio hivyo.
Nahisi utakua Under 25...
 
Kuna manz nlitaka nimtoe bikra alikua ni bek 3 wa jiran kisanga ilikua anapiga kelele kinoma yan tunakubaliana frsh ila nikimbananisha anapiga kelele balaa, nikaona ni bora niikose tu kuliko kupata kashfa ya kubaka wakat tumekubaliana
😅😅 mwamba ukapotezea kabisaa Aisee.
 
Kwan ukishambikiri hawezi kutombw.... na jamaa mwingine?una point ila umeshindwa kuitetea

California love
Anaweza ila madhalani kwasababu umeamua KUOA na kuweka ndani basi mtoto kutulia na ww unakuwa rahisi
 
Labla bikra uipate kwa wanyama wa mwituni [emoji38]wasichana wa siku hizi hata akiwa nayo atatangazia dunia nzima hata kama ni feki na pia u kisasa umeharibu kila kitu
Unaangalia na mtu mwenyewe anayesema ana bikra Kama umri umevuka 20 ujue hamna kitu hapo
 
Ni ushauri kwa vijana wenzangu wanaofikiria kuoa.Kumbuka mwanamke huwa sio rahisi kumsahau mtu aliyewahi kushiriki naye tendo la ndoa.Hivyo akikutana na mtu aliyewahi kushiriki naye tendo. Ni rahisi Sana kuchepuka bila ya kujali yupo kwenye ndoa.Ili kuondokana na hii adha ni kutafuta mwanamke ambaye hajawahi.Mafundisho ya biblia yanatuasa tusizini kabla ya ndoa maana adhari yake Ni kubwa haswa kwa wanawake.Wanawake ambayo hawajawahi kabisa wapo Kama bajeti inaruhusu unaenda zako nchi za uarabuni unajipatia brand new unamleta bongo mnaishi kwa Raha mstarehe.Ahsanteni.
Hizi narratives haziishi tu.
 
Back
Top Bottom