APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Tatizo unakuta sio right choice....kwa mfano yule wa mara ya kwanza alikuwa sio type yangu kabisa ..Saa hivi ukiotea mzee unaweka ndani kabisa ina kuwa mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unakuta sio right choice....kwa mfano yule wa mara ya kwanza alikuwa sio type yangu kabisa ..Saa hivi ukiotea mzee unaweka ndani kabisa ina kuwa mke
Kwa nini yeye tu?Yeye tu
Basi una bahati ya mtende kuota jangwani mkuuKwenye vyuo mkuu mi nimepata watatu nikadhibitisha ni bikra mmoja Kati yao ndio nataka nioe!
Brake corodani kkkkkUnaambulia fuko la rambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika mkuuNadharia hiyo ni ya ukweli kabisa au hata usipopate bikra at least uone ambaye amefanya mapenzi na wanaume wachache Kama wawili tu au tatu sio zaidi ya hapo!