Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za majukumu wakubwa na wadogo zangu.
Kwanini watu wengi wanapokuwa bafuni wakiwa na nguo ya juu na chini (suruali na shati) huanza na shati badala ya suruali?
Jichunguze wewe na mwenzi wako hilo halina ubishi.
Kwani kuna ubaya gani kuanza na suruali badala ya shati?
Au kuna miko tuliyowekewa na wazee wetu au ni mazowea?
Najua hata kwenye mambo yetu ya sita kwa sita lazima tuanzie kuvua za juu wakati mizunguko yote mafikio yake ni chini.
Msinifikirie vibaya jamani sijavuta bhangi wala kunywa pombe na wala sijui ladha yake.
Kuanzia leo mimi nataka nianze kuvua ya chini badala ya juu.
Nawasilisha...
Wenu Form 2 failure 2005.