Ukitaka kuoga unaanza na nguo ipi kuivua ???

Ukitaka kuoga unaanza na nguo ipi kuivua ???

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Habari za majukumu wakubwa na wadogo zangu.

Kwanini watu wengi wanapokuwa bafuni wakiwa na nguo ya juu na chini (suruali na shati) huanza na shati badala ya suruali?
Jichunguze wewe na mwenzi wako hilo halina ubishi.

Kwani kuna ubaya gani kuanza na suruali badala ya shati?
Au kuna miko tuliyowekewa na wazee wetu au ni mazowea?
Najua hata kwenye mambo yetu ya sita kwa sita lazima tuanzie kuvua za juu wakati mizunguko yote mafikio yake ni chini.

Msinifikirie vibaya jamani sijavuta bhangi wala kunywa pombe na wala sijui ladha yake.
Kuanzia leo mimi nataka nianze kuvua ya chini badala ya juu.
Nawasilisha...
Wenu Form 2 failure 2005.
 
kuanza kuvaa ama kuvua? wengine tunavaa msuli na muda mwingine tunazama uchi
 
Ukianza kuvua shati tatizo ni nini kwani? Vile vile kama ukianza kwa kuvua suruali tatizo ni nini? Wewe utakua umeshiba ugali wa home sio bure ndio maana umekuja kuipotezea shibe yako hapa ili uliandae tumbo na chakula cha usiku!

Utoto raha sana aisee!
 
wewe ulishawahi kusema unapoenda haja kubwa unatoa shati unabaki na suruali..sikushangai.

kwanini umezungumzia wakati wa kuoga...kwani wakati wa kawaida tu huwa unaanza nini...

aghhh halafu mimi wakati wa kugegeda huwa najikuta nimevua chipi kabla ya suruali,na unakuta namgegeda demu hata hajavua nguo

kudadadeki...mimi sivuti bangi
 
Wanaokwenda kuoga huku wamevaa nguo hao ni ma Single, sisi ambao tumeshaoa tukienda kuoga tunaingia bila nguo, mkuyenge unagonga kushoto na kulia kama bajaji inakwepa mashimo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kuna ujumbe nili Ku pm mbona hukunijibu???
 
Wanaokwenda kuoga huku wamevaa nguo hao ni ma Single, sisi ambao tumeshaoa tukienda kuoga tunaingia bila nguo, mkuyenge unagonga kushoto na kulia kama bajaji inakwepa mashimo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hatareee
 
Back
Top Bottom