Ukitaka kuoga unaanza na nguo ipi kuivua ???

Ukitaka kuoga unaanza na nguo ipi kuivua ???

wewe ulishawahi kusema unapoenda haja kubwa unatoa shati unabaki na suruali..sikushangai.

kwanini umezungumzia wakati wa kuoga...kwani wakati wa kawaida tu huwa unaanza nini...

aghhh halafu mimi wakati wa kugegeda huwa najikuta nimevua chipi kabla ya suruali,na unakuta namgegeda demu hata hajavua nguo


kudadadeki...mimi sivuti bangi

Huvuti bangi ya wapi nataka unielekeze nikanunue
 
Back
Top Bottom