Ukitaka kuonekana kijana kuwa na mtindo mzuri wa maisha

Ukitaka kuonekana kijana kuwa na mtindo mzuri wa maisha

Kuna demu alikataa nisimuoe akidai ananizidi umri na haja plan ndoa ya namna hiyo, kiuhalisia nilikuwa 4+ years older kwake. Siku hizi naacha midevu kama Yohana mbatizaji maana nikinyoa tu pisi za rika langu zinaona kijana mdogo nataka majimama.

Shida ya kutozeeka ñi kukosa midada mîkubwa kwani inakuona mdogo. Hii ni kwa wale wapeñda uhuni
 
Naona ungetuwekea picha yako hapa uachane na hizo ngonjera zote ulizoandika hapo juu ingekuwa na maana zaidi.

Kama ndio hiyo hapo juu kwa avatar hongera but angalia isijekuwa ya 2018.

Picha mara nyingi hazinaga uhalisia Mkuu.
Nazungumzia wanaoniona live. Sizungumzii wanaoona picha zangu.

Picha zina mambo mengi kuanzia aina na ubora wa kamera, muda na hali ya hewa picha ilipopigwa, ujuzi wa mpiga picha, umbali na pembe ambapo picha imechukuliwa.
So hoja yako hapa sio mahala pake

Sasa nafikiri wewe ndiye umeleta ngonjera
S
 
Kuna kitu kinaitwa genes

Kama baba ako alianza kuuona uzee akiwa na miaka 17 kuna possibility kubwa ya wewe kupita humo humo and vice versa

Upo sahihi kwa asilimia kadhaa.

Ila mwili kuchoka unategemea zaidi matumizi ña utunzaji wa mhusika mwenyewe.
 
Kwa upande wangu mazoezi , chakula na kutenga muda kwa ajili ya kujifurahisha !
Nina uzito uleule toka 2014 uzito wangu umebalance kabisa !
 
Ndio hivyo.
Sasa mtu akitaka picha ni kama hajui anataka nini.
Hata enzi hizo natongoza madeni mtandaoni nilikuwa siombi picha kwa sababu najua nitatumia picha zilizo nje ya uhalisia na mhusika😂😂
Hapo sasa ticha nimekupata aiseeee ahahahaha
 
Back
Top Bottom