Ukitaka kuonekana kijana kuwa na mtindo mzuri wa maisha

Umeandika vema ila bila picha inakosa uhalali.
 
Umenena vyema mkuu.
Ndiyo maana wakasema "... nyuma ya kila mwanaume anayefanikiwa kuna mwanamke mwema"
ni kweli,,wanaume wengi saivi wameangukia kwenye ulevi sababu ya sisi wanawake,,mume anaona ni heri achelewe kurud nyumbani kuliko kurud kwenye gereza dogo,, yaan mama anakeleeeeele kazin alikotoka nako kelele afu ukute anafanyia gereji😂😂😂,,
 
mke mwema humfanya mumewe astawi kwa utulivu,amani na furaha ya moyo,coz atapata vyote ulivoviweka apo juu,,kama kuna vya kukumbusha kufanya atakukumbusha........read more
Ni ukweli
Ûmefafanua vizuri

Il kwa sehemu kûbwa mke mwema ni matokoè ya mwnàûme.
Mwanamke ni kama mwezi huku mwanaume ni jua.
Mwezi huakisi çhochote kutoka kwèñye jua
 
Oga mara moja kwa siku. Kama kuna ulazima paka mafuta kama haunywi maji mengi. Lakini kama ni mnywaji mzuri mafuta sio lazima sana.
Oga mara moja kwa siku au ANGALAU mara moja kwa siku? Inategemea na kazi za mtu.
 
Watibeli tunaongozwa na Kanuni

Vipo vigezo vya kuchagua mke
Na vipo vigezo vya kumwaçha mke. So kuvurugwa unakosema hakipo coz kuja mlango wa kuingia na wakutokea.
Ungeweka uzi wa hivyo vigezo ingependeza mkuu ili vijana wajifunze.
Inawezekana baadhi ya wafuasi wa "Kataa Ndoa" kuna 'Vigezo' hawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…