Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu bidada nlikutana naye ofisi moja hivi nikampenda maana utadhani mtutsi au msomali. Shape anayo, sura anayo, rangi anayo. Akili? Sijui. Anyway mi sina lengo la kumsomesha wala kumtungia mitihani. Hayanihusu.
Mjini tunabadilishana biz cards. Na tukaona tuseviane numbers pia. Basi nikawa busy kama week hivi. Siku nikampigia kama pia nipo juu sana.akapokea na kuitikia kinyonge...nikamuuliza kulikoni. Ndo kunijibu anaumwa. Nikamuuliza kama ameenda hosp akajibu bado hayupo vizuri sana akipata salary ataenda maana bado hajakatiwa bima hosp.nikampa pole.
Kisha nikamtumia vijicent aende hosp. Dk tu akapiga simu kushukuru sana....nikamwambia hapana hilo jambo dogo tu anashukuru hivyo.siku nikifanya makubwa je? Atanishukuru vipi ikiwa atamaliza maneno na baraka zote leo?
Sijui kama alienda kutibiwa au vipi. Ila kesho yake akanijulisha kushukuru na kuwa ana malaria so anaendelea na matibabu. Nikamtumia pesa ya matunda na juice. Nikanyamaza two days. Akanipigia kuniuliza siendi msalimia. Nikamwambia ofisini kwake sina issue. Akaniambia nikapajue aishipo. Nikamwambia sawa haina shida nipo safarini so nikirudi. Kiukweli sikuwa safarini wala nini nlikuwa tu mara Tandale kwa Tumbo, mara Mburahati, Mara Majimatitu mara kwa Mnyamani nakula miguu ya kuku na mihogo kwa kachumbari.pesa yote si nimempa yeye? Niliyatimba makimba.
Basi juzi akanitafuta nikamwambia narudi jana asubuhi. Akaniambia angepeenda nikamsalimie kwake. Nikasema sawa coz sijachoka wala nini... Si nlikuja kwa flight. Basi saa 5 asubuh nikatia team kwake. Akanielekeza nikafika. Tumepiga stories kinyama. Nami nina sounds kibao za kimamtoni n.k tukacheck movie. Mara anakuja kukaa nami karibu sofani. Kidogo akaenda room akaniita. Hapo alishamwondoa dada yake wa kazi akatembee huko mbali.
Nikajua tu mtoto kautaka. Nikaenda room ana mtandio tu mwepesi. Aaaargh nikamchapa nao. Nlivyo bwege, fala, tutusa , zombie na dengeru nilikula bila kinga. Ndo baadaye nakumbuka Trump amekata ku fund WHO. round ya pili nikasema kama ana ngoma tayari ninayo niendelee tu...ya tatu bao la jioni nakamilisha mchezo saa 3 usiku. Nikaaga.
Mwenyewe aliamua kunitunuku tunda sababu ya wema wangu uliokuwa umemzunguka....nikaondoka mwendo wa kibingwa. Sema kuanzia leo sasa akili imerudi ndo nawaza what if ana miwaya?umeme na ngoma. Haraka nafanya mpango nimpigie dkt wangu mshkaji Dumbwisa anipatie zile dawa.