Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 561
- 997
Maisha yanatoka ndani kuja nje soma hapo chini kuelewa zaidi.
Katika maisha watu wengi wanawekeza nguvu zao kujijenga nje kuliko kuwekeza ndani ambapo ndio chanzo cha kila kitu.
1.Mungu(imani), unapofanya mambo yako yote mtangulize Mungu kwanza, dunia ina mambo mengi, upinzani upo wa kiroho na kimwili(physical) ,
hivyo usipomuweka Mungu kwenye shughuri zako adui anaweza kukupiga hivyo jenga uhusiano wako na Mungu atakusaidia ata kwenye mambo ambayo uyaoni kwa macho.Kuna level ya mafanikio kufikia inaitaji nguvu za Mungu na sio akili yako pekee.
2.Akili(mind), katika kitu cha msingi cha kuwekeza ni akili yako, tumia muda mwingi kuwekeza akili yako tafuta maarifa ya kutosha kwenye maeneo yote.
kwa mfano biashara unayoifanya, mahusiano, Mungu na teknolojia, ukiwa na maarifa ya kutosha utakuwa bora kwa kila eneo , kuna changamoto zinakusumbua kila muda sio kwamba una laana hapana unakosa maarifa tu.
3.Hisia(emotional), watu wengi wana haribu maisha yao sababu ya hisia tu, hisia inaweza kuharibu mambo yako mengi unafanya maamuzi kwa hisia kuliko kutumia akili,
tumia muda wako kujua hisia zako ni vitu gani vinakukasirisha sana, kufurahisha, vinakuumiza baada ya hapo jifunze jinsi ya kuthibiti, au kama kuna watu wa kuwaepuka au mahusiano fanya hivyo ili kuishi kwa amani na utulivu.
4.kutambua thamani yako, watu wengi wanatafuta thamani yao kwa kuambiwa na watu wengine, ukijitambua na kuelewa wewe ni wa thamani na Mungu kakuumba kwa upekee,
utaacha kutafuta validation(kuthibitishwa)na wengine, utaweka mipaka yako kwenye maisha yako hii itakusaidia sana kutimiza ndoto zako, na hii ni siri ukianza kujithamini watu pia wataanza kukuthamini, ukijependa na watu pia watakupenda hizo ni kanuni za universe.
5.Mawazo yako(thought), anza kujiwazia mambo makubwa au chanya, unapokuwa mtu chanya na sio mtu wa kulalamika kwa serikali, wazazi, jamii kwa ujumla, una amini mafanikio yako yatatokana na juhudi zako na Mungu , hii itakufanya kutafuta njia na kuona fursa, fursa aziji kwa kulalamika zinakuja kwa kuchukua hatua, anza ulipo utafanikiwa.