Mkuu Choo inayotumiwa na weng unataka ifanane na self contained room mzee??Ni bahati mbaya kwamba kwenye jamii yetu sio maofisini, shuleni, vyuoni, majumbani, stendi, filling stations vyoo ni vichafu sana, na kwa baadhi ya jamii zetu vyoo ndio haviingiliki kabisa mfano ukienda tukuyu mjini vyoo ni vichafu sana hata kwenye miji yetu. Hali hii inapima kiwango chetu cha ustaarabu. Vyoo visafi ni vichache sana. Na inakuwa bahati mbaya vyoo kwenye vyuo vikuu ndio balaa na hao ndo wasomi. Hata niseme tubadilike sidhani kama tutabadilika ila kwa sehemu kubwa sisi ni wachafu sana. Hizo picha ni choo cha umma Arusha.
Mkuu Choo inayotumiwa na weng unataka ifanane na self contained room mzee??
Atasaifisha Halafu ataonyesha,Huenda chake pia kichafu!Weka choo chako tuone kwanza
Tupime ustaarabu wako
ni kweli kabisaWatu wengi hawajui matumizi sahihi ya toilet,.
Inatakiwa vyoo vya public viwe safi zaidi ya self contained.Mkuu Choo inayotumiwa na weng unataka ifanane na self contained room mzee??
Ukienda airport, stand zote mpya, ofisi za ma RC, DC hali niyo, kuna mwaka mstaafu mmoja alisema hata ukienda bungeni usione wale wanaulamba vile wapo wanao piga shabaha pembeni, nahiyi hii ni laanaNi bahati mbaya kwamba kwenye jamii yetu sio maofisini, shuleni, vyuoni, majumbani, stendi, filling stations vyoo ni vichafu sana, na kwa baadhi ya jamii zetu vyoo ndio haviingiliki kabisa mfano ukienda Tukuyu mjini vyoo ni vichafu sana hata kwenye miji yetu.
Hali hii inapima kiwango chetu cha ustaarabu. Vyoo visafi ni vichache sana. Na inakuwa bahati mbaya vyoo kwenye vyuo vikuu ndio balaa na hao ndo wasomi. Hata niseme tubadilike sidhani kama tutabadilika ila kwa sehemu kubwa sisi ni wachafu sana.
Soma Pia: Haya mazingira ya Vyoo vya eneo la Kivuko pale Busisi ni hatari sana kwa afya
Hizo picha ni choo cha umma Arusha.
Mkuu mbona vyo vya mlimani City mbona viko safi japo vinatumiwa na wengi!!??Mkuu Choo inayotumiwa na weng unataka ifanane na self contained room mzee??
Sahihi kabisaInatakiwa vyoo vya public viwe safi zaidi ya self contained.