Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣DahUkienda airport, stand zote mpya, ofisi za ma RC, DC hali niyo, **** mwaka mstaafu mmoja alisema hata ukienda bungeni usione wale wanaulamba vile wapo wanao piga shabaha pembeni, nahiyi hii ni laana
Hivyo vyoo mbona visafi bro!Ni bahati mbaya kwamba kwenye jamii yetu sio maofisini, shuleni, vyuoni, majumbani, stendi, filling stations vyoo ni vichafu sana, na kwa baadhi ya jamii zetu vyoo ndio haviingiliki kabisa mfano ukienda Tukuyu mjini vyoo ni vichafu sana hata kwenye miji yetu.
Hali hii inapima kiwango chetu cha ustaarabu. Vyoo visafi ni vichache sana. Na inakuwa bahati mbaya vyoo kwenye vyuo vikuu ndio balaa na hao ndo wasomi. Hata niseme tubadilike sidhani kama tutabadilika ila kwa sehemu kubwa sisi ni wachafu sana.
Soma Pia: Haya mazingira ya Vyoo vya eneo la Kivuko pale Busisi ni hatari sana kwa afya
Hizo picha ni choo cha umma Arusha.