Ukitaka kupima ustaarabu wa jamii husika angalia usafi wa maliwato yao. Hapa tumefeli sana

Ukienda airport, stand zote mpya, ofisi za ma RC, DC hali niyo, **** mwaka mstaafu mmoja alisema hata ukienda bungeni usione wale wanaulamba vile wapo wanao piga shabaha pembeni, nahiyi hii ni laana
🤣Dah
 
CHOO ili neno lenyewe limekaa kiuchafu hata wakati wa kula ukitaja tu watu wanakutolea macho!kule kusini mtu akisema ana jisikia choo ujue mavi yanamuuma.
 
Hivyo vyoo mbona visafi bro!
Njoo Uswazi ujionee vyoo vya milango ya viroba kabla hujanya unatandika gazeti Ili urojo wa mavi usikurukie wakati unashusha mzigo!
Ukiangalia pembeni Kuna Kila aina ya mizigo!; lingine limefanana kama Koni! Lingine limelala mbele Kuna kama ya mbuzi, lingine makamasi na damu....
Nguzo nyeusii na mlango wa kiroba Kwa sababu ya kukokona....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…