Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Daah nina demu ni mwalimu hukoOoooooh! Masikini mdogo wangu mpwayungu umeamua kukatisha uhai wako kwa tamaa ya ngono.....kule mwanza kuna wilaya inaitwa misungwi asilimia kubwa ya vijana niliosoma nao elimu ya msingi nilikuta wameathirika, nilipouliza niliiambiwa vijana wengi wanashinda kwenye vilabu vya pombe wakiserereka na wamama wauza...
Ila bado sijamla sijui nihairishe