Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Hivi kweli kabisa kimeshindikana cha kufanya ili magari yasi stuck pale boda.
Kinashongaza hili ni jambo la muda mrefu sana, lakini kama kawaida yetu tumefundishwa kuzoea shida na kuwaita wazungu mabeberu.
Ila hakika ni kwaba huyo beberu hawezi kufanya upumbuvu kama unaofanyika pale mpakani Tundum.
Ni kitu gani hicho cha gharama kubwa kuliko vitu vyote duniani kinachofanya changamoto hii isitatuliwe.
Ni processes gani hizo ambazo ni ndefu hadi kufanya mambo yasifanyike kwa wakati.
Ni aibu sana kwa Tanzania na Zambia kwa yanayotokea pale mpakani. Ila hio yote inarudi kuonesha true colors za mtu mwenye ngozi nyeusi haswa yule aliye madarakani, aliewekwa na kusimama kisiasa zaidi ya kiutendaji.