Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli kabisa kimeshindikana cha kufanya ili magari yasi stuck pale boda.
Kinashongaza hili ni jambo la muda mrefu sana, lakini kama kawaida yetu tumefundishwa kuzoea shida na kuwaita wazungu mabeberu.
Ila hakika ni kwaba huyo beberu hawezi kufanya upumbuvu kama unaofanyika pale mpakani Tundum.
Ni kitu gani hicho cha gharama kubwa kuliko vitu vyote duniani kinachofanya changamoto hii isitatuliwe.
Ni processes gani hizo ambazo ni ndefu hadi kufanya mambo yasifanyike kwa wakati.
Ni aibu sana kwa Tanzania na Zambia kwa yanayotokea pale mpakani. Ila hio yote inarudi kuonesha true colors za mtu mwenye ngozi nyeusi haswa yule aliye madarakani, aliewekwa na kusimama kisiasa zaidi ya kiutendaji.
Ni kweli kabisa kabisa, yaani ukiyakumbuka yote unaweza kupata hasira sana.Kabisa hata mazingira ya sisi blacks hayana mpangilio uchafuuchafu, hata vyombo ndani havina mpangilio yaani ni kama vile ilitakiwa tuwe bado tuko maporini na tunatembea uchi au kuvaa ngozi na magome ya miti, angalia ardhi iliyopo kubwa pamba hatulimi ya kutosha na kutengeneza nguo tunasubiri avae mzungu ndio atuletee tununue nasisi tuvae tena hiyo tayari ni kasoro kubwa
Nashauri hiiboda ibinafsishwe😁😁😁😁😁😁😁Sana tena sana, we fikiria hao wenye mizigo yao wanavyosubiri kwa muda mrefu.
Angalia tu gharama za uendeshaji maisha za hawa madereva.
Ukiangalia kinachoendelea humu katika mabishano ya russia na Ukraine au waisrael/wazungu na wapalestina/waarabu au kusini na kaskazini, hakika hoja yako haina budi bali kuunga mkono. Hebu fikiria, humu ndo kwa wasomi (wengi wao). Just imagine huko nje hali ipoje?!!!!!!Siku zote nasemaga tusiwalaum viongozi wetu bure tu wanasema ukiona viongozi wamelala ujue wananchi wake wamelala zaidi.
Kiufupi sisi wabongo ni wajinga na wapumbavu kwaiyo tunaongozana tu bora liende jamii yetu ikibadirika na viongozi wata badirika tu.
Washafunikwa na tamaa za kiraia?!! Acha waendeleeKwani Kuna sehemu TISS hawapo?
Ahsante sana jamii yenyewe isipobadilika tunazidi kuwapa airtime.Siku zote nasemaga tusiwalaum viongozi wetu bure tu wanasema ukiona viongozi wamelala ujue wananchi wake wamelala zaidi.
Kiufupi sisi wabongo ni wajinga na wapumbavu kwaiyo tunaongozana tu bora liende jamii yetu ikibadirika na viongozi wata badirika tu.
Hahaha hawaweziNashauri hiiboda ibinafsishwe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi kweli kabisa kimeshindikana cha kufanya ili magari yasi stuck pale boda.
Kinashongaza hili ni jambo la muda mrefu sana, lakini kama kawaida yetu tumefundishwa kuzoea shida na kuwaita wazungu mabeberu.
Ila hakika ni kwaba huyo beberu hawezi kufanya upumbuvu kama unaofanyika pale mpakani Tundum.
Ni kitu gani hicho cha gharama kubwa kuliko vitu vyote duniani kinachofanya changamoto hii isitatuliwe.
Ni processes gani hizo ambazo ni ndefu hadi kufanya mambo yasifanyike kwa wakati.
Ni aibu sana kwa Tanzania na Zambia kwa yanayotokea pale mpakani. Ila hio yote inarudi kuonesha true colors za mtu mwenye ngozi nyeusi haswa yule aliye madarakani, aliewekwa na kusimama kisiasa zaidi ya kiutendaji.
Wameweka vikwazo gani?Utawalazimisha Zambia wafanye wewe unavyotaka?
Sababu ni urasimu wa upande wa Zambia wanaona Tanzania inafaidi kuliko wao so wanakwamisha kama tuu Kenya wanavyofanya pale Namanga maana Nako Hali ni kama hii hii.
Upande wa Zambia kuna scanner moja tuu,hawafanyi Kazi masaa 24 na wao barabara yao ni njia moja au barabara ni finyu kiasi kwamba Wana restrict idadi ya malori kupita Kwa siku..Wameweka vikwazo gani?
Maana hata taarifa za habari hawaelezi tatizo ni nini
Ukweli mtupu.Kabisa hata mazingira ya sisi blacks hayana mpangilio uchafuuchafu, hata vyombo ndani havina mpangilio yaani ni kama vile ilitakiwa tuwe bado tuko maporini na tunatembea uchi au kuvaa ngozi na magome ya miti, angalia ardhi iliyopo kubwa pamba hatulimi ya kutosha na kutengeneza nguo tunasubiri avae mzungu ndio atuletee tununue nasisi tuvae tena hiyo tayari ni kasoro kubwa
Utabinjuka na Lori?Nimekaa hapo border miez 6 kna njia nyingi tu za kubinjuka unafanya mambo yako unarudi, foleni yao unawachia wenyewe
Ova
Yaani hiyo barabara imeharibika siku za karibuni? Maana tatizo limeanza karibuni tuUpande wa Zambia kuna scanner moja tuu,hawafanyi Kazi masaa 24 na wao barabara yao ni njia moja au barabara ni finyu kiasi kwamba Wana restrict idadi ya malori kupita Kwa siku..
Mwisho wanataka madereva wao na kampuni zao ziwe na share kubwa Kwenye usafiri ndani ya Zambia eti kunufaisha watu wao.
Usiniulize maswali ya kijinga,kawaulize Zambia,Tzn haina Cha kufanya zaidi ya kubembeleza.Yaani hiyo barabara imeharibika siku za karibuni? Maana tatizo limeanza karibuni tu
Mzee mbona nakuuliza kwa ajili ya kujua tu, mbona inakua nongwa?Usiniulize maswali ya kijinga,kawaulize Zambia,Tzn haina Cha kufanya zaidi ya kubembeleza.