Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Asa kaka watanzania tupo karibu mil 55 afu uanakuja kunipigia kelele kwa mtu mwwnye subscribers mil 2 UPO SAWA UPSTAIRS?...hiyo ni kama kuwa wa kwanza kwenue kundi la wasio na akili me nkajua ur going to talk of atleast 10 M subs.
Pumba zingine hizi, wewe una matatizo fulani fulani.

Diamond ndio mTanzania mwenye followers wengi Twitter, Instagram ni mwana Afrika mashariki na kati anayeongoza kwa followers wengi.

Facebook page yake ina zaidi ya 1.5 million people.
Ndiye msanii pekee Africa mwenye subscribers million 2 Africa.
Anamiliki WCB yenye subscribers wakutosha tu.

Wana Tv channel na Radio ambayo ni lazima tu utaitazama kivyovyote.
Hivi una akili wewe? Utawakwepaue WCB kwa mfano?
 
B12 ndio nani?
Aliekua tishio kwa uhai wa WCB alikua ni Rugemalira,hatatokea binadamu mwingine walau kwa miaka kumi ijayo,labda WCB wajiangushe wenyewe
 
Wasafi wana matatizo tu,kwa nini giant media kama clouds,tve/efm na eatv hawampi ushirikiano?,vyombo vyote hivi wanamuonea wivu?,abadilike aache maringo ya kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…